Asante mkuuKweli wewe ni mjasiriamali,safi sana mkuu...ngoja wateja waje
??"Hapana mkuu".
Jump to conclusion, aisee.
Unakataa offer ya movies zaidi ya 1000 ambazo unanunua kwa bei chee kisha wewe utaziuza kwa makumi ya watu kwenye group lako!!!!!
Here we go i again.....Nina collection ya zaidi ya movie 4000 over 5TB of data...nmekataa ofa yake coz najua movie alizonazo lazima ntakua nazo ZOTE..Where is my benefit in that? Uliza kwanza kwa nini mtu kakataa instead of jumping to conclusionUnakataa offer ya movies zaidi ya 1000 ambazo unanunua kwa bei chee kisha wewe utaziuza kwa makumi ya watu kwenye group lako!!!!!
Mjasiriamali gani unapuuzia fursa.
Don't be too autonomous, ama HDD zinakupa kiburi 😀 😀
Safi sanaHello Everyone
Ninafungua a new Whatsapp group kwa wadau wote wa Movie,Series
It is an Exclusive group yenye kiingilio
Najua wengi mtakua mmeshangaa baada ya kusikia kuna kiingilio
Here is why!
Each member kila week atakua anaweza kuweka oda ya movie zozote 10 pamoja na seasons 5 per week anataftiwa na delivery inafanywa within 4days (So in short kwa mwez unaweza weka oda ya muvi 50,season 20)
Kwenye group zitakua zinatoka updates mpya za movie or series latest ambazo zimetoka pia Reviews pia
Kiingilio ni tsh.30,000/= tu (This is a monthly payment)
PS: FREE DELIVERY NI KWA WALE NDAND YA DAR NA KATIKA MAENEO YA KARBU
Kwa maelezo zaidi PM
Asanteni
Asante mkuuSafi sana
Tujitume sio kusubili ajila za masemango
Sidhani kama atakosa movie zinazo fanana na za muuzajiUnakataa offer ya movies zaidi ya 1000 ambazo unanunua kwa bei chee kisha wewe utaziuza kwa makumi ya watu kwenye group lako!!!!!
Mjasiriamali gani unapuuzia fursa.
Don't be too autonomous, ama HDD zinakupa kiburi 😀 😀
Kama wewe unaweza kukaa hadi saa sita ili udownload vitu sio kila anaweza.Usiku pack bundle ni 10 GB @1000TSH
Series episode moja ni MB 200-350 Kwa 720p.
Haya yote magumu kwa kutumia computer za ofisi unadownload mpaka ushindwe wewe, gharama kwenda na flash tu.
Thank you mkuu kwa ushauri....nilikua na wazo hilo pia ila ubaya watu wengi hawatumii telegramKwa ushauri tu ni mara 100 ukaweka Telegram group maana whatsapp ni mwisho ni members 257 tu wakati telegram unaweza kua na zaidi ya mara 100
HahahahahahahahahahaaaaHello Everyone
Ninafungua a new Whatsapp group kwa wadau wote wa Movie,Series
It is an Exclusive group yenye kiingilio
Najua wengi mtakua mmeshangaa baada ya kusikia kuna kiingilio
Here is why!
Each member kila week atakua anaweza kuweka oda ya movie zozote 10 pamoja na seasons 5 per week anataftiwa na delivery inafanywa within 4days (So in short kwa mwez unaweza weka oda ya muvi 50,season 20)
Kwenye group zitakua zinatoka updates mpya za movie or series latest ambazo zimetoka pia Reviews pia
Kiingilio ni tsh.30,000/= tu (This is a monthly payment)
PS: FREE DELIVERY NI KWA WALE NDAND YA DAR NA KATIKA MAENEO YA KARBU
Kwa maelezo zaidi PM
Asanteni
Usiku pack bundle ni 10 GB @1000TSH
Series episode moja ni MB 200-350 Kwa 720p.
Haya yote magumu kwa kutumia computer za ofisi unadownload mpaka ushindwe wewe, gharama kwenda na flash tu.