Members only

Likikosa mteja wa cash itabidi ukopeshe
 
Hahahaaa sasa jogoo wa hivyo unamnunua ili iweje?
 
Jogoo huyu ukimwacha nyumbani na mtoto unakua na wasiwasi
 
Naona mnamuandama jogoo tu, huyo paka nae ni shoga kama ni dume na kama ni jike basi ni kahaba. Haiwezekeni atulie namna hiyo. Means he/she feels it deeply
 
[emoji15][emoji15] Huyu jogoo itakua ni uzao wa FARU JOHN [emoji2][emoji2] kamata chini kamatia chini[emoji445][emoji441]
 
Shikamoo Jogoo!!!
Huyo jogoo utakuwa anapanda hadi juu ya Ng'ombe.
 
Naona mnamuandama jogoo tu, huyo paka nae ni shoga kama ni dume na kama ni jike basi ni kahaba. Haiwezekeni atulie namna hiyo. Means he/she feels it deeply
Acha kabisa jogoo akishakandamiza chini
 
Hupo paka lazma atakuwa punga tu....paka gani anapumuliwa na jogoo alafu kajiachiiia kabisa,kucha anazo,meno anayo,ukuta na mti anaweza kupanda,huyo hafai.
 
Hupo paka lazma atakuwa punga tu....paka gani anapumuliwa na jogoo alafu kajiachiiia kabisa,kucha anazo,meno anayo,ukuta na mti anaweza kupanda,huyo hafai.
Pengine kunogewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…