green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,308
- 35,852
Mida imetaradadi wakuu karibuni ftari japo nimeunguza tuvuliane tupate japo sunna.... inshallah
Nimependa samakiNawe karibu hapaView attachment 1105810
Nawe karibu hapaView attachment 1105810
Ahsante sanaNawe karibu hapaView attachment 1105810
Samaki mbona kashangaa haamini kama analiwa au
Mbona ugali hamna.Nawe karibu hapaView attachment 1105810
Hata ugali dagaaKumbe hata wali ni futari,nilikua sijui
Du basi mi nikisikia futari akili inawaza viazi Fulani au mihogo imekatwakatwa na kuchanganywa na nyama,nyanya nkHata ugali dagaa
Nawe karibu hapaView attachment 1105810
Samaki mbona kashangaa haamini kama analiwa au
Hahahaha bonge la ngunaUkila hapa ndio unakua umeshiba? Au unaenda kujazia na ugali wa kiafande ndo ulale
Hahahaha bonge la nguna
Ukila hapa ndio unakua umeshiba? Au unaenda kujazia na ugali wa kiafande ndo ulale