Members CYBERTEQ na LUKELO SAKAFU-Je Wapo hai?

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
10,476
9,601
Wanajopo wengi humu hatujuani.
Ila lazima mwenzetu mmoja ikifika miezi sita hatujaona mchango wake lazima tutia shaka kama yupo Duniani au anaumwa Maradhi makubwa.Yote kwa yote ni kumuombea

Sasa kwa kipindi kirefu sana sijamsikia CYBERTEQ na mzee wa kuripuka LUKELO SAKAFU

Moderators:
baada ya kupata uwepo wao,naomba muufute huu uzi ili nisijaze nafasi buree
 
CYBERTEQ ni kweli hajang'aa muda mrefu,pengine yuko mozambiq anatafuta ruby au congo anatafuta dhahabu na almasi,jaribuni kucheki na watu wa goma maana ni mtu madini huyu, lukelo sajafu yupo anatupia tupia ugoro humu
 
MKUU ZANZIBAR SPICE, watu tupo sana humu jf hajafulia mtu hapa tupo vzuri tu hajapungua mtu humu,mimi mzee wa K 4 REAL. haya futa haraka uzi wako,
 
CYBERTEQ ni kweli hajang'aa muda mrefu,pengine yuko mozambiq anatafuta ruby au congo anatafuta dhahabu na almasi,jaribuni kucheki na watu wa goma maana ni mtu madini huyu, lukelo sajafu yupo anatupia tupia ugoro humu
Duhh,aisee jamaa amejitua mbali.
Lukelo Sakafu aisee kuna jamaa amenikumbusha kwamba alipewa mke,sasa sijui alimkataza kuingia JF akafiria humu ni Facebook
 
nonsense idioty badala ya kuangalia maisha yenu na wake zenu mnakalia kudiscuss life za watu waliofanikiwa..best zanzibar spice vipi tena kaka?
 
Back
Top Bottom