Member wajf msaidieni rafiki yangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Member wajf msaidieni rafiki yangu.

Discussion in 'JF Doctor' started by luckyperc, Sep 17, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Anatatizo pindi aendambo kukojoa anajikuta sha.hawa zinamwagika kwanza halafu ndo mkojo unafuatia!
  Je tatizo ni nini?
  Je kwa baadae swala la nguvu za kiume itakuwaje?

  Msaidie ushauri wenu ni wa muhimu.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Sep 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Anajuaje kuwa ni shahawa? isijekuwa ni usaha.
  Aende hosp kupima.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mwambie apunguze kuwaza sana ngono................huh
   
Loading...