wandugu,
nimewasiliana na ndugu wa karibu wa member mwenzetu yo yo na ameniarifu kuwa amekamatwa na amefungwa lupango/rumande leo asubuhi. Kwa kosa la kutanua barabarani kutokea maeneo ya mbezi beach akielekea kutafuta mkate wa kila siku. Inasemekana alisimamishwa na trafic lakini hakusimama. Basi traffic police wakawasilina na wenzao kwa redio call ndio wakamtia nguvuni. Kwa hiyo yuko kituo cha o'bay police na juhudi za kumfikisha mahakamani ndio zinafanywa na wanausalama wetu.
Nilikutana nae mara ya mwisho last wk end akiwa na gari yake mpya aliopata baada y mwenyezi mungu kumjalia ajira kijana mwenzetu. Nimesikitishwa na kustushwa na habari za ndg yetu huyu.
Tunaomba kama una ndg pale utusaidie kwa kesi hii, yo yo anaweza kunyea simtank na sio ndoo kutokana na kuwa dodge wanausalama. Au kama unaweza kutoa msaada wa kisheria pia tutashukuru. Nitaelekea huko baada ya kupata ruhusa kazini ili tumwekee mdhamana
Amevunja sheria!Wandugu,
Nimewasiliana na ndugu wa karibu wa member mwenzetu YO YO na ameniarifu kuwa amekamatwa na amefungwa lupango/rumande leo asubuhi. Kwa kosa la kutanua barabarani kutokea maeneo ya mbezi beach akielekea kutafuta mkate wa kila siku. Inasemekana alisimamishwa na trafic lakini hakusimama. Basi traffic police wakawasilina na wenzao kwa redio call ndio wakamtia nguvuni. Kwa hiyo yuko kituo cha O'bay police na juhudi za kumfikisha mahakamani ndio zinafanywa na wanausalama wetu.
Nilikutana nae mara ya mwisho last wk end akiwa na gari yake mpya aliopata baada y Mwenyezi Mungu kumjalia ajira kijana mwenzetu. Nimesikitishwa na kustushwa na habari za ndg yetu huyu.
Tunaomba kama una ndg pale utusaidie kwa kesi hii, YO YO anaweza kunyea SIMTANK na sio NDOO kutokana na kuwa dodge wanausalama. Au kama unaweza kutoa msaada wa kisheria pia tutashukuru. Nitaelekea huko baada ya kupata ruhusa kazini ili tumwekee mdhamana
Typical you.Amevunja sheria!
Mkuu, kosa la kutanua faini yake ni 250,000 au 300,000 sina uhakika sana kati ya hizo mbili, au jela 2 weeks na faini juu.vp ametoka?..mwambie awapege elfu 5 tu hao ni njaa zinawasumbua.
vp ametoka?..mwambie awapege elfu 5 tu hao ni njaa zinawasumbua.
Are you sure!?Typical you.
mkuu, kosa la kutanua faini yake ni 250,000 au 300,000 sina uhakika sana kati ya hizo mbili, au jela 2 weeks na faini juu.
Jamaa wakikufikisha mahakamani tu, unasomewa hukumu, sio mashtaka.............waulizeni madereva wa daladala wanavyoteseka kwa hii sheria ya kishenzi.
Nguli, check na ndugu wa karibu au mshkaji wa karibu wamuwahi kabla ya kwenda mahakamani. Tafadhali.
sasa ni msaada gani unahitajika? Pesa za kutoa rushwa? Pesa za dhamana? Mwanasheria? Chakula? Au nini?
Amevunja sheria!
simkimbii trafic mimi labda nisiwe na vi-coin kwenye dash-board
alfu tano anaposimama akiwakimbia zidisha alfutani kwa kila kilomita mpaka wakufikishe kituoni aisee anaitaji si mssada washeria tu bali maombi ya kumtoa
alfu tano anaposimama akiwakimbia zidisha alfutani kwa kila kilomita mpaka wakufikishe kituoni aisee anaitaji si mssada washeria tu bali maombi ya kumtoa