MEMBER MPYA WA JF

Wasukuma wa JF wote umeme mdogo kichwani..!!
Na ndiyo tunaopigania vijana mpate fulsa mbalimbali za kimaendeleo na kiuchumi chini ya Rais wetu kipenzi cha vijana Mama Samia Suluhu Hassani
 
kwani nani ambae ha countdown? Leo upo karibu zaidi na siku yako ya kuzikwa kuliko ilivyokua jana
Ni kweli mkuu, ila yeye mwenyewe ndiye aliyetoa taarifa hiyo ndo maana nikamuuliza maendeleo yake🙏

Vipi lakini mkuu ushajipatia kadi yako ya uanachama?
 

Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 2
Hiyo ni wewe mwaka 2016
 

Attachments

  • Screenshot_20260821-230008 (2).jpg
    184.7 KB · Views: 4
mdau hapo juu kasema Mimi ni wa 2011 wewe tena wa 2016....Sina hizo Id huenda hata hiyo nyuzi iliunganishwa na kwa mwenye Hilo jina kama hili langu si unajua wasukuma sisi ni brand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…