Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,599
- 4,665
karibu SanaHabari zenu member wa JamiiForums.
binafsi nina furaha sana kujiunga katika mtandao huu wa kijamii (JamiiForums), naomba kukaribishwa.
hahaha Yani weweElezea jinsia yako, timu ya kabumbu unayoipenda Yanga au Paka (sorry simba), mlengo wako wa kisiasa ((beberu au mzalendo) nk.
Wewe mbona umeingia kwa fujo??Habari zenu member wa JamiiForums.
binafsi nina furaha sana kujiunga katika mtandao huu wa kijamii (JamiiForums), naomba kukaribishwa.
tuma txt kwa Moderator mwombe akubadilishie jina au tuma kwa JamiiForumsmsaada jaman jinsi ya kubadili jina la kwenye account yangu ya j forum