Uchaguzi 2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

Membe alifukuzwa kutoka CCM na si kwamba aliondoka kwa kupenda, unaposema unamkaribisha haileti mantiki, yeye akae huko huko aliko
 
Labda Rais wako na familia ako
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuichagua tena hii Serikali ya WATEKA NYARA, mamia kwa maelfu wanakusanyika huko kupata BURUDANI YA WASANII tu. Kusitishwa kwa matamasha kwaajili ya COVID-19 kuliwaacha watu wengi katika lindi la upweke.
 
imeshagundulika hakuna mchezo wowote apo! taarifa za ndan zilishaelezea kila kitu kinachoendelea
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuichagua tena hii Serikali ya WATEKA NYARA, mamia kwa maelfu wanakusanyika huko kupata BURUDANI YA WASANII tu. Kusitishwa kwa matamasha kwaajili ya COVID-19 kuliwaacha watu wengi katika lindi la upweke.
 
Natamani ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha
Ningekuwa nalipua tu mibomu ka Osama

Kleptomaniax walikuwaga onfire sana those days
 
Akili za kijinga kabisa hizi!!

Mkoa wa Pwani hakuna Waislamu?!

Tanga hakuna Waislamu?!

Tabora hakuna Waislamu?!

Au unataka kutuambia Magufuli kaanzia Bara kwa sababu na yeye anategemea Ukristo kuibeba CCM sio?!
Acha kujidai mjuaji kuliko wajuaji. Rudia andiko langu, soma kwa taratiiibu, unaweza kuelewa. Hiyo mikoa uliyoitaja yenye waislamu wanavigogo wenye ngome zao huko kama Kigoma mjini na Lindi/Mtwara? Mbaaafu kabisa wewe, usithubutu tena kunikaripia siku nyingine 😡
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuichagua tena hii Serikali ya WATEKA NYARA, mamia kwa maelfu wanakusanyika huko kupata BURUDANI YA WASANII tu. Kusitishwa kwa matamasha kwaajili ya COVID-19 kuliwaacha watu wengi katika lindi la upweke.

sasa subiria hio october utakapopata presha , usipoangalia utapata na dalili za kutema mate ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…