AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
RAIS wa malawi jana ametoa tamko mbele ya waandishi wa habari kuwa hana mpango kupigana vita na Tanzania lakini hata kama hatapigana, ziwa lote ni la malawi na Tanzania haina chake. serikali ya Tanzania inanyamaza tu kwa uchokozi huu unaofanywa na rais mpya wa malawi?
RAIS wa malawi jana
ametoa tamko mbele ya waandishi wa habari kuwa hana mpango kupigana vita
na Tanzania lakini hata kama hatapigana, ziwa lote ni la malawi na
Tanzania haina chake. serikali ya Tanzania inanyamaza tu kwa uchokozi
huu unaofanywa na rais mpya wa malawi?
RAIS wa malawi jana ametoa tamko mbele ya waandishi wa habari kuwa hana mpango kupigana vita na Tanzania lakini hata kama hatapigana, ziwa lote ni la malawi na Tanzania haina chake. serikali ya Tanzania inanyamaza tu kwa uchokozi huu unaofanywa na rais mpya wa malawi?
Kijana tuliza akili haya mambo siyo ya kukurukupa na kutoa matamko kama Kasuku. Huyo Rais kwanza amewadanganya wananchi wake maana alisema akiingia madarakani analitwaa ziwa lote sasa mbona kimya.
RAIS wa malawi jana ametoa tamko mbele ya waandishi wa habari kuwa hana mpango kupigana vita na Tanzania lakini hata kama hatapigana, ziwa lote ni la malawi na Tanzania haina chake. serikali ya Tanzania inanyamaza tu kwa uchokozi huu unaofanywa na rais mpya wa malawi?
issue kama hizi ukinyamaza inaonekana umekubaliana na kilichosemwa, siku ukija kuibua watakushangaa mbona tulisema hivi wewe ukakubali na sasa unajifanya kuibuka tena?Kulikoni kutoa matamko ni vema tukasubiri hatma ya usuluhishi wa kamati ya Chisano.