AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
RAIS wa malawi jana ametoa tamko mbele ya waandishi wa habari kuwa hana mpango kupigana vita na Tanzania lakini hata kama hatapigana, ziwa lote ni la malawi na Tanzania haina chake. serikali ya Tanzania inanyamaza tu kwa uchokozi huu unaofanywa na rais mpya wa malawi?