Membe: Sihusiki vurugu za Mtwara...

Membe: Sihusiki vurugu za Mtwara...

'Jakaya Kikwete' ndie ateshinda uchaguzi wa 2015!
 
Nani kamuuliza, arobaini zaja, yote yatakuwa hadharani tu
 
vurugu zote aulizwe siraha na chadema yake

m23 wewe hauko kawida, kuna tatizo ambalo linakusumbua bila wewe kujua. Haiwezekani akili yako kila wakati ikawaza juu ya Dr. Slaa tu. Hapa hoja ni uhusika wa Membe kwenye vurugu za mtwara, ajabu ww unatuambia tumuulize Slaa na Chadema, je, hao waliomtuhumu membe hawana akili? Hawamjui Slaa na chadema?
 
mi naona tatizo membe hajatoa kauli kama ustadhati alivyotoa ndo maana yanamkuta.
so tumwambie ustahadhati kuwa anaponzwa na kauli ya kumsapoti jk
 
Hivi wale waliowekewa mabilioni kutokana na gesi kule Uswisi hawausiki kweli na kadhia ya mtwara! Kwanini serikali isianze nao badala ya kutafuta wachawi?
 
Sishangai ya Membe, huyu jamaa haeleweki, wanaomwona wa maana ni wale ambao hawamjui, ana siasa maji taka ajabu.. ila vurugu za mtwara yeye ashiriki kwa faida ya nani?? Yeye wa Lindi, ya Mtwara yanamuhusu nin?? Kama Nyumba kuchomwa mbona ya Mkapa haijachomwa? au ndo tuseme naye anahusika na vurugu hizi.. sitashangaa kuwa ni Membe mwenyewe katengeneza habari hii kwa sababu zake za kisiasa, na mvi anahusika vip na ya Mtwara?? alikuwa wa kwanza kushauri serikali kuhusu kutoharakisha uchimbwaji wa gesi, au ndo vile mabaya yote ya Kikwete na serikali yake anabebeshwa EL ambaye amekuwa muhasirika mkuu wa utawala mbovu wa Kikwete toka ajiuzulu! tujifunze kuwajibika hasa kwa serikali na viongozi wake, mawaziri ndo washauri wa rais haya madudu ya MTWARA WA KULAUMIWA NI KIKWETE NA SERIKALI YAKE YOTE HASA BARAZA LA MAWAZIRI, TUACHE UNAFIKI NA CHUKI, ETI LOWASSA ANA MKONO KWENYE GASI KIVIP?? TUFIKIRII KWA VICHWA NA SI MAKALIO, NDIYO MAANA TUNAISHIA KUPUUZWA NA WANASIASA KWA SABABU YA WATU WENYE UPEO MTU WANAOSEMA KWA SAUTI KUBWA..
 
Eti kwa kua mali zake hazijahujumiwa na wananchi kwa hiyo anahusika na ghasia hizo.... Hivi kumbe mtu akibobea sana kwenye ufisadi anapoteza akili ya kawaida ya kufikiri?

Kwa hiyo ni kweli Hawa Ghasia alimrushia tuhuma nzito Membe.?

vurugu zote aulizwe siraha na chadema yake

Hivi wale waliowekewa mabilioni kutokana na gesi kule Uswisi hawausiki kweli na kadhia ya mtwara! Kwanini serikali isianze nao badala ya kutafuta wachawi?
......sidhani kama unaweza kujianza mwenyewe;
 
Back
Top Bottom