Hatutaki kupigwa.Pinda hatufai.
anawazuga huyo na wewe umeamini kweli kuwa pinda ndo atapitishwa watakaempitisha hautasikia wanamsema hata siku moja mpaka mwisho ,kama moshi mweupe vile wa kumpata papa,sorry kama wewe sio mkristo ,
Hatutaki kupigwa.Pinda hatufai.
CCM wanajikoroga sana...
My Take: Huyu bwana hajielewi. Kila anapopita, anaahidi kumuunga mkono mzawa wa eneo husika. Hii ni kumaanisha hana confidence, sio makini au anajiandalia mazingira ya kukumbukwa huko mbele ya safari?
aibu sana kwa mgombea urais kuwa na Kauai zaid ya moja.naona anajikosha kosha tu kama ombaomba msaniiiiMembe nae mara namuunga mkono Mwandosya mara Pinda, ni udhaifu mkubwa huo. Simamia nia yako.
Siasa za Tanzania lolote linawezekana! Usishangae akitujuza yeye na Lowassa hawakukutana barabarani!Na wewe umeona eeeh!
Ngoja tusubiri tuone kama akifika Arusha/Monduli atasema kwamba atamuunga mkono ENL
aibu sana kwa mgombea urais kuwa na Kauai zaid ya moja.naona anajikosha kosha tu kama ombaomba msaniiii
Anawafanya watu wendawazim wasie mfuatilia matamshiyake, mwaka huu ccm wenyewe kwa wenyewe matumbo ni moto ila muhimu ni kumpata kiongozi wakuikoa Tanzania lazima awe mzalendo ktk nafsi yake na mwenye kumuogopa mungu ktk nafsi yake.TEAM WAZALENDO
Ccm wasipompitisha makongoro ndo mwisho wao
Akizungumza kwenye ukumbi wa CCM Sabasaba (huko Sumbawanga), Membe alisema kuwa Waziri Pinda ni mtu mchapakazi, asiye mbinafsi, mwadilifu, mvumilivu sana mwenye hekima na busara ya hali juu, mwanasheria aliyebobea na ndiye mwalimu wake ambaye alimfundisha kazi.
japo mbele yetu anaweza akaonekana ni mdhaifu ila jamaa yupo very strategical na hata huko kwa wote hao anaowaunga mkono ameshasoma alama zao za nyakati kuwa mmoja wao atateuliwa na chama kuwa mgombea kiti cha urais na kwa bahati mbaya kwa wapinzani na nzuri kwa wana ccm ni kwamba siku ambayo ccm watamtangaza tu mgombea wao basi ndiyo watakuwa wameshamtangaza rais ajaye wa nchi hii kuchukua nafasi ya mzee wetu jakaya mrisho kikwete.
"Wengine wote hawanitishi nitawagonga, nitawagonga, lakini nikifika kwa Pinda itabidi nipumue kwanza. Kwa hiyo mimi na Pinda ni pacha nikishindwa mimi nitamuunga mkono," alisema Membe ambaye pia aliwahi kusema atamuunga mkono Profesa Mark Mwandosya
Source: Gazeti la Mwananchi: Kada achukua fomu, atembea hadi stendi - Kitaifa
My Take: Huyu bwana hajielewi. Kila anapopita, anaahidi kumuunga mkono mzawa wa eneo husika. Hii ni kumaanisha hana confidence, sio makini au anajiandalia mazingira ya kukumbukwa huko mbele ya safari?