Wameshanyookayaani unajua moja kwa moja hamna mtu wa kugombea huko kwenu kwanini Lowassa asiingie na hoja ya katiba mpya!
Malipo ya udhalimu ni hapa hapa. Akithubutu kumpoteza mpinzani wake 2020, awe ccm au upinzani, malipo yatakuwa papo kwa papo (immediately)! Hatafanya hilo kosa!Jiwe asije akampoteza Mh Membe
Ukweli au uongo, kamwe hauna maficho ya kudumu. Wakati in ukuta na siku zote huuweka ukweli wazi na kuuumbua uongo. Time will tell!Membe ata ahaidi iyo katiba mpya Sisi watanzania Tupo na JPM. Kenya wanakatiba mpya lakin yaliyotokea baada ya uchaguzi imeonyesha walipoteza muda na fedha na katiba haijawa suluisho katika migogoro yao kama Nchi.
Huko kwenu ndio wapi naongelea kura ya maoni ndani ya CCM.yaani unajua moja kwa moja hamna mtu wa kugombea huko kwenu kwanini Lowassa asiingie na hoja ya katiba mpya!
Hujui uhusiano wa katiba na maendeleo.mimi naungana na muheshimiwa rais mojakwamoja kuwa kipa umbele cha sasa hivi siyo katiba mpya maendeleo kwanza unafikiri katiba ndiyo italeta maedeleo? hiyo ni siasa tu fikiria mambo yanavyoenda sasa uchumi unakua ajira zinatengenezwa kila mtu akiwa na afueni ya maisha hiyo katiba mpya ya nini provided hiyo iliyopo sasahivi haimuumizi mtu zaidi ya watu kutaka mambo ya kisiasa tu
NA sitaki hata kuujua maana hapo ni matumizi mabaya ya pesa za uma tu tena hapo watu wanataka kupiga dili tu hakuna chochote subirini miradi mikubwa iishe ianze kuzalisha uone tunakoelekeakwenye maziwa na asaliHujui uhusiano wa katiba na maendeleo.
kwenu chadema!Huko kwenu ndio wapi naongelea kura ya maoni ndani ya CCM.
Huko kwenye chama chake kwenyewe wanatofautiana kuhusu katiba mpya..labda iwe kama kivutio kingine cha watu kupiga hela bungeni baada ya ukata wa muda mrefuIwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.
Hoja ya katiba mpya bado inavuta hisia za wananchi wengi, leo niliona jinsi rais alivyopata kigugumizi cha ghafula alipotaka kuzungumzia suala la KATIBA, hii inaleta picha kwamba hata rais anataka mchakato uendelee ila kwa sababu anazozijua yeye anashindwa kusema hadharani kwa sababu alishawahi kusema katiba siyo kipaumbele chake.
Nakuhakikishia siku akitangaza vipaumbele vyake na kuahidi kurudisha mchakato wa katiba mpya hakika atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka ndani ya chama chake, wapinzani wenyewe, baadhi ya viongozi na wabunge wa CCM.
ndilo wanalotaka sasahivi wapige hela hali mbayaa!!!!??Huko kwenye chama chake kwenyewe wanatofautiana kuhusu katiba mpya..labda iwe kama kivutio kingine cha watu kupiga hela bungeni baada ya ukata wa muda mrefu
Si wanasema wana tundulisu? Au wanaona haenei kwenye hiyo nafasi?yaani unajua moja kwa moja hamna mtu wa kugombea huko kwenu kwanini Lowassa asiingie na hoja ya katiba mpya!
Kisiasa Membe hana dili labda kama mnataka kudili na mizoga.Iwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.