Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

viongozi waliokulia madrasa ni shida sana kuwa na upeo

Mkuu hii ni large strategic plan....sio Tanzania tu! Vita ya Congo SADC imeshasema basi, tuwaonee huruma waafrika wenzetu wanaokufa bila hatia. Imefika wakati tuwe na Congo yenye amani ili majirani zake nao wapumzike. Kwa sasa amani ya Congo inasumbuliwa na Rwanda tu na vinginevyo....! Political will imeshapatikana.....lakini Rwanda hawataki wanang'ania vita kwanza kwa kisingizio cha FDLR na pili kwa kuanzisha proxy forces in Congo ambazo siku zote zina-destablise Congo. Sasa wakuu wamesema 'imetosha' ni muda wa kusoma alama za nyakati tu. One option ni kuwa na mazungumzo na FDLR na kuweka tume ya usuluhishi, kitu ambacho Kagame and inner circle hawakitaki. Sasa Kagame na genge lake aachwe aendelee kuuawa watu tu freely mpaka lini? Option ya pili ni kumng'oa Kagame kama individual na kuwa na mtu moderate ambaye atakubali suluhu ya kisiasa. Bahati mbaya option hiyo ni ngumu kwa sasa hata ukiandaa coup de tat still inabidi kuwa na back up army kwa vile inner circle ya Kagame inahusisha watu wengi. Kisa cha Gen. Kayumba Nyamwasa kukimbilia South Africa ni kutokana na option hiyo ya pili. Sasa option ya tatu iliyopo ni kuzibana hizo proxy forces zake, then baadae kubana b.u.m.b.u zake mpaka akubali suluhu ya kisiasa...!
 
Membe ni bonge la kiongozi ndo maana maadui zake wanahaha kumchafua. Hakika anafaa kuwa rais wa 5 wa Tz. Mpeni nafasi. CCM Lowassa camp acheni majungu. Mamvi mnayemlamba miguu ni mgonjwa hawezi tena mikikimikiki ya siasa za sasa
 
kweli ni bonge la kiongozi na ndo maana alilia kweli gadhafi alivouliwa
 
Membe ni bonge la kiongozi ndo maana maadui zake wanahaha kumchafua. Hakika anafaa kuwa rais wa 5 wa Tz. Mpeni nafasi. CCM Lowassa camp acheni majungu. Mamvi mnayemlamba miguu ni mgonjwa hawezi tena mikikimikiki ya siasa za sasa

mbona magogoni kuna MGONJWA kuliko mamvi
 
Kama vipi zipigwe tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
this is coming from wenje???? one of those classless politicians waliojazana CDM anaongea upuuzi wowote kisa bunge lipo LIVE

Acha uoga wewe kikwete yupo sahihi kwani hujui chanzo cha ugomvi wa kongo???
 
this is coming from wenje???? one of those classless politicians waliojazana CDM anaongea upuuzi wowote kisa bunge lipo. Kama ndivyo basi inji hii ina kizazi kisichotakali mambo kwa mstakali wa nchi..ni nani hawa?
 
Jipange upya. Data yako ya bajeti financing proportions haiko sahihii...
 
kabila ni weak na ana jeshi weak sana...mbona jk hamchokozi museveni na inajulikana wanasaidia vita drc...leave alone RWanda jk hana ubavu wa kufanya mediation..madagascar wamepoteza muda weeeee mwisho wa siku kale ka dj kamesema kanagombea na wasimchanganye haiwahusu yeye kuwa rais....
 
Membe ni bonge la kiongozi ndo maana maadui zake wanahaha kumchafua. Hakika anafaa kuwa rais wa 5 wa Tz. Mpeni nafasi. CCM Lowassa camp acheni majungu. Mamvi mnayemlamba miguu ni mgonjwa hawezi tena mikikimikiki ya siasa za sasa

Dunia haina shaka na uongozi wa Membe, Afrika haina shaka na uongozi wa Membe, Rais wa Tanzania hana shaka na uongozi wa Membe, Bunge halina shaka na uongozi wa Membe, CCM haina shaka na uongozi wa Membe, Mtama hawana shaka na uongozi wa membe, Mimi sina shaka na uongozi wa Membe, Mkutano Mkuu wa CCM hauna shaka na uongozi wa Membe...akigombea Urais sintokuwa na shaka naye, nitamuunga mkono.
 
huyu membe mtoa kucha si ndo naskia anafadhili vurugu za mtwara sasa akiwa rais si atatuo kucha labda rais wa mtama au mtwara
 
Ila naona kama warwanda walioverreach, nakumbuka walitonyesha jinsi walivyopatana wenyewe kwa wenyewe, tukaona na documentaries etc. kumbe bado hayajaisha
 
huyu membe mtoa kucha si ndo naskia anafadhili vurugu za mtwara sasa akiwa rais si atatuoa kucha na meno labda agombee urais wa mtama au mtwara kwa Tanzania hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…