Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Nakumbuka mwaka Jana nilikula hela kwenye kambi ya friends of lowassa
Jee hili ni tamko kutoka ACT au no lako mwenyewe? Ni jambo jema kwa ndugu (ACT na CCM) kuonyesha ushirikiano wakati mgumu kama huuNiwapuzi walio jibalagazua kuanzisha habari ya kizushi
Hongera sana Membe
Picha la kihindi hiloThe game continues, atakuwa ameitwa huyo.
Mkuu saluteJee hili ni tamko kutoka ACT au no lako mwenyewe? Ni jambo jema kwa ndugu (ACT na CCM) kuonyesha ushirikiano wakati mgumu kama huu
Mmakonde anasemaga UCHITEME WALA UCHIMEJECCM kumechafuka hapakaliki tena,
Alitakiwa aseme hivi, Baada ya kuitwa na kuelezwa kuwa nitakiweka chama changu njia panda nimeamua kusitisha kuongea na waandishi wa habariHATA Mtt Wa Grade 1 Hawezi KUKUBALI Huo UZI Wa Kanusho!!!
Membe hana chance tena kutokana na tabia yake ya unafiki. Mwisho wa political career yake ilikuwa ni era ya JK. Ni bora akajikita na shughuli ndogondogo kama wastaafu wengine lakini yeye siyo political material
kwani wewe ulitakaje? ulikuwa chadema kwa sababu ya Padre slaa. slaa hayupo chadema umeenda kwa magufuli. na sasa unatetea kwa nguvu zote kuliko hata sisi tuliokuwa huko kumsapoti kuanzia mwanzo. driving force yako inajulikana, muache Membe awe huru kusema chochote kwenye nchi yake.Hawa wanasiasa aina ya Membe na siasa za aina yao wakiendekezwa hatutofanya kazi zaidi ya kupiga siasa ....
Ha ha mmkuu umeniacha kwa msuguleMmakonde anasemaga UCHITEME WALA UCHIMEJE
Hizo chokochoko zitakuwa zimesukwa na EdwadiMiraruano CCM ni ya kudumu.
Huu ni mwanzo tu fisi wameanza kuwindana wenyewe kwa wenyewe.
Mbona Lowassa hajitokezi humu kukanusha?Hili kanusho halina ukweli wowote. Aje Member mwenyewe akanishe. Friends of Honorable Member ndiyo akina nani?.
Mbona Lowassa hajitokezi humu kukanusha?