YAH:KUKANUSHA UZUSHI WA MITANDAONI DHIDI YA BERNARD MEMBE(BM).
Ndugu watanzania wa ndani na nje ya nchi,tunapenda kukanusha kwa nguvu zote uzushi unaonea kwenye mitandao mbalimbali kuwa kiongozi mwandamizi wa Ccm ndugu Bernard Membe ataongea na vyombo vya habari siku ya leo saa kumi jioni.
Katika uzushi huo aliyeandika anataja kuwa ndugu Bernard Membe atazungumzia hujuma ndani ya Ccm.Hujuma alizoita za kumpata mgombea urais,hujuma za kampeni na hujuma dhidi ya upinzani.
Tunakanusha kwa nguvu zote kuwa ndugu Bernard Membe hatozungumza na vyombo vya habari.Na hayo yaliyotajwa kuwemo kwenye dhima ya mkutano wake na vyombo vya habari hayapo.Ni mwendelezo wa hekaya za wabaya wake kisiasa.
Ndugu Bernard Membe anaheshimu chama chake.Anaheshimu demokrasia ndani ya chama chake.Na anaheshimu mamlaka ya nchi yake.Hatozungumza na vyombo vya habari.Mtoa taarifa ni mwongo mkubwa na wa kumpuuza.
Imetolewa na Friends Of Hon. Membe.(FOM)