Membe anasema bado bendera ya Tanzania inatumika katika meli Iran

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,429
Zile meli labda zina shehena ya opium. Kama kuna vikwazo vya uchumi Iran,basi,zile meli labda zina shehena ya opium.
Ni mambo yameanza zamani;tokea wakati wa Shah,mpaka wakati wa Ayatollah Khomeini. Watu hao hao wanaoweka hivyo vikwazo ndio wanaofanya hiyo biashara. Watu gani? Jana Balozi wa Uingereza amekwenda Zanzibar kuongea na Mohamed Shein. Hao ndio watu tunaowazungumzia.
Kwa hiyo haya ni mambo government-sanctioned. Membe should only act if he is pushed.
 
Back
Top Bottom