Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
milango IPO lakini watu wanaingilia madirishaniSizonje.... Karibu nyumbani kwetu
Hii ndio nyumba yetu, tulimoficha miundu ya kuulia wezi.
Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.Haka kajamaa hakajitambui, ni fisadi Jnr. Yeye atasema chochote atakacho ili tu kumyumbisha Magufuli asitumbue majipu ya JK na mawaziri wake majambazi. Naona ni wivu tu ndiyo unaomsumbua Membe kwani alitaka sana kuwa rais ili aendelee kuiba na kutetea maslahi ya JK. Rais Magufuli inabidi atumbue majipu ya Membe haraka sana.
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafkiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli
ukiona jipu limeanza kuwasha ujue karib linahitaji kutumbukiwa, au kutumbua....
membe jiandaa kutumbuka au kutumbuliwa, unaujua magufuri vzr???
Kwan Membe ndio nani?Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafkiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli
Pole shemeji. Mwaka 2020 sio mbali.Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
Bulembo domo kaya utamsikia tu na elimu yake ndogo lazima ajitokeze Sababu huwa hakosi neno la kusema ili mradi wajue nae yupo ndani ya chama, meneja kampeni wahafidhina wanamsubiri kwenye uchaguzi wa ile jumuiya yake.Bulembo na Ole Sendeka wasiishie kumjibu Makongoro wamjibu na huyu
Huna ulijualo wewe..mute!Kama kwa comments za Membe umemuweka kwenye kundi la geniuses, utakuwa bonge la mbatata wewe.
Point yangu nafikiri imekupita utosini mkuu. Kilichowatokea hao waliokuwa na Bifu na Rais nadhani unakielewa. Na Huyo jamaa uliyemtaja alikuwa na Bifu na Mh Rais nafikiri matokeo yake uliyaona mpaka sasa hivi anaishia kuwa mhamasishaji wa madiwani. Politricks is a nasty game.Inawezekana sana mkuu kuwa na bifu na raisi na unaishi nchini ,kwani Nyerere aliwaweka watu kizuizini kwa sababu gani ??? Au utawala uliopita Lowasa na Jk walikua na nini ??
Mkuu wewe labda ndio point yangu imekupitia utosini hapa hatuongelei matokeo ya bifu ,tunaongelea uwezekano wa bifu kutokea ,na ndio nikakujibu hilo linawezekana vizuri na nikakutolea mifano ,sasa kama mtu kaleta bifu na raisi akaishia kuwekwa kizuizini au vinginevyo hilo ni swala jinginePoint yangu nafikiri imekupita utosini mkuu. Kilichowatokea hao waliokuwa na Bifu na Rais nadhani unakielewa. Na Huyo jamaa uliyemtaja alikuwa na Bifu na Mh Rais nafikiri matokeo yake uliyaona mpaka sasa hivi anaishia kuwa mhamasishaji wa madiwani. Politricks is a nasty game.