Membe alisahau nini Serikalini?

.....which is pretty much the same question you should have asked Magufuli back in 2015.

in fact, it's a question which every single member of the cabinet in the previous 4 phases should be tasked with!!
 
Huyu ndo mzuri wacha apambane humohumo na fisiem wenzie
 
Anatafuta bahari beach hotel, Bado hajakubali matokea
 
Mbna wengne wanatekwa na kupotezwa kwann Membe hapotezwi???
 
Wewe ndiye mtoa nafasi ndani ya upinzani?

Akina Mdee&Co walijifaragua hivihivi kuhusu ujio wa Mamvi mwishowe wakaishia kwenye fedheha kuu!

Jifunzeni kuweka akiba ya maneno ikizingatiwa you're not decision makers!

BTW: Kushindwa kulipa kisasi kwa wale maadui zake 12 aliopania kuwapeleka uhamishoni akiwa Rais ndiyo kinamuuma zaidi.
 
Unamshangaa Membe mtu ambaye yuko mbali kabisa na utawala huu. Lakini mbona hajaomba kazi yoyote serikalini?!

Kwanini haumshangai Mizengo Pinda anayejipendekeza serikalini hadi anatumwa nje kumwakilisha rais au kushiriki shughuli za kiserikali kama tulivyomuona juzi huko Katavi akikata utepe kuzindua programu ya TCAA kana kwamba bado ni Waziri Mkuu?
 
Nyie endeleeni kutoa hoja na vipost vyenu vya kipuuzi puuzi, ila subirini 2020 ndio mtaona mtanange wake.

Raia wamewachoka CCM kiukweli, mlichobakia nacho kinachowaokoa ni Nguvu Ya Dola tu.
Membe chama gani?
 
Camillius sio threat ila amekuwa OVERRATED kana kwamba kipindi cha yeye kuwa serikalini amefanya bora.
 
Tech, naomba kutofautiana na wewe. Kama kuna mtu yeyote be it Membe or whoever anapinga udhalimu, ukatili mauaji, kuvunjwa kwa haki za binadamu katika nchi hii, kwa dhati kabisa kutok rohoni mwake, then hajasahau kitu mahali popote bali anatetea mustakabali wa nchi yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe is not popular among the voters..ukimchukua Membe na Mbowe au Lipumba,naamini Mbowe na Lipumba wako very popular,wanajulikana mpaka huko vijijini,so wapinzani msirogwe mumpokee hugo Membe,ataawangusha tu.
 
Hapo sasa, mfa maji tu, hana lolote...
 
Kusema ukweli Membe Ni sawa na Magufuli wote Ni wa binafsi. Utofauti Ni kuwa Magufuli katokea kabila kubwana wenye tabia ya ukabila ubaguzi na Membe katoka kikabila kidogo kibinasi na sio kibaguzi.

Naongea nikiwa mtumishi wa Lindi since 2005

Rondo naifahamu.

Membe angepata urais Basi rondo ingekuwa Kama kijijini kwa Zuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…