Membe alisahau nini Serikalini?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Je anaidai serikali?

Je anaidai CCM? Je anawadai Watanzania?

kwanini alishindwa kufanya jambo lolote la maana akiwa waziri miaka 10 tena akiwa mshauri mkuu wa JK?

Why now? nani yupo nyuma yake? ushauri hana nafasi ndani ya upinzani apambane uko uko CCM

Membe ni kapi.
 
Techniques za kutafuta kufuungwa mkono na wapinzani kwa manufaa binafsi
Jr
 
Anaamini "ufisadi" ni jambo endelevu na bora kwa wale walio "barikiwa"
 
Ukiona huna akili ya kupinga mambo wewe ni Bora twende ichunguze akili yako. Membe ana hakizote za kugombea na anafaa hapa ni mwendo wa kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hana lolote ni uchu tu wa madaraka
 
Nadhan jibu lake litakuwa kama wanasiasa wengine, atakuambia nafasi aliyokuwa nayo haikumpa nafasai ya kufanya vitu vingi kwa Taifa, kwa hyo kuwa Rais atatimiza malengo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akiwa waziri wa mambo ya nje ni kipi alipaswa kufanya ambacho alishindwa kukifanya? Membe ni mwana CCM mwenye haki zote kama wanachama wengine, kwanini watu mnaumia sana akiongea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…