Mema Magazine jarida lenye kulenga vijana

Mema Tanzania

Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
66
Reaction score
65
Mema Tanzania Jumamosi ya tarehe 17 Aprili, 2020 tulizindua jarida la Mema Magazine toleo la kwanza linalofahamika #Tumesomeka likiwa katika programu maalumu ijulikanayo kama Sauti Huru. Jarida hili limesheheni maudhui yanayohusu masuala yafuatayo;-

​

Afya na usawa na kijinsia​
Uraia na uwajibikaji​
Michezo na sanaa​
Ajira na ujasiriamali​
​
​
​

Jarida hili sasa linapatikana kwa njia ya mtandao kupitia mema-magazine-edition-1-tumesomeka na nakala ngumu.

​

Usiache kumshirikisha mshikaji wako wa karibu pindi unaposoma jarida hili. Usisite kutupatia maoni yako inapobidi.
-
#Tumesomeka #SautiHuru #UnleashYouthVoiceEd1

Tufuate kupitia Facebook, Twitter, Instagram, Medium | Mema Tanzania na Mema Magazine.
 
Jitahidini mtuletee makala za kujitambua. Kama ilivyokuwa kwa jarida la jitambue lake marehemu Munga Tehanan.
 
Jitahidini mtuletee makala za kujitambua. Kama ilivyokuwa kwa jarida la jitambue lake marehemu Munga Tehanan.
Shukrani kwa mchango wako Ziroseventytwo 🙏

Kupitia jarida hili tumegusia mengi na mazuri ya utambuzi kwa vijana, tunaomba upitie kisha utapatie maoni kipi cha kutekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…