Meli zilizofungiwa zench

Meli zilizofungiwa zench

isaya clement

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Baada ya kusikiliza BBC leo nimesikia kuwa meli kadhaa zimefutiwa leseni huko zech je miundo mbinu mbadala imeandaliwa vema kusaidia wakazi wa zench
 
Baada ya kusikiliza BBC leo nimesikia kuwa meli kadhaa zimefutiwa leseni huko zech je miundo mbinu mbadala imeandaliwa vema kusaidia wakazi wa zench

kwahiyo unashauri watu waendelee kuliwa na samaki?
 
zanzibar ina watu wenye maamuzi dhaifu sanaaaa...
 
Back
Top Bottom