johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,107
Ndio napanda hivi naelekea Msumbiji!umeandika,nini..mkuu?..au,ndo..meli..inapita.
Mkuu tumo melini na yule diwani wa Kwakilosa pale manispaa ya Iringa!Kwa nini meli zinaitwa meli za Mwakyembe, kwani alitoa hela yake mfukoni.?
Elimu, elimu,elimu.!
Tukifika Manda nitatuma picha mkuu!Hata picha
inaelekea msafiri wetu hajafika manda port kashuka kituo kingine au ameishiwa chaji au kifurushi au smesahau,sitaki kuamini kuhusu maigizo bado tunasubiri picja za mandaMamlaka ya Bandari imetangaza kuanza kazi kwa meli zilizozinduliwa ujenzi wake na waziri Mwakyembe. Meli hizo zinatoa huduma katika bandari zilizopo ziwa Nyasa katika nchi xa Tanzania, Malawi na Msumbiji. Hapa kazi tu, karibuni!
Kuna maji ya Lowasa pia!Kwa nini meli zinaitwa meli za Mwakyembe, kwani alitoa hela yake mfukoni.?
Elimu, elimu,elimu.!
Hawa Malawi wamekubali meli ya Tanzania ifanye kazi kwenye ziwa lao lote?Mamlaka ya Bandari imetangaza kuanza kazi kwa meli zilizozinduliwa ujenzi wake na waziri Mwakyembe. Meli hizo zinatoa huduma katika bandari zilizopo ziwa Nyasa katika nchi xa Tanzania, Malawi na Msumbiji. Hapa kazi tu, karibuni!
Pia kuna na treni la Mwakyembe. Hapo ndipo utazimia sasa. Yani we ulitaka kila kitu kiitwe Nyerere? Ulishawahi kusikia ile hadithi ya angazi?Kwa nini meli zinaitwa meli za Mwakyembe, kwani alitoa hela yake mfukoni.?
Elimu, elimu,elimu.!
Kwa nini meli zinaitwa meli za Mwakyembe, kwani alitoa hela yake mfukoni.?
Elimu, elimu,elimu.!
Kwa nini meli zinaitwa meli za Mwakyembe, kwani alitoa hela yake mfukoni.?
Elimu, elimu,elimu.!
Mkuu tumo melini na yule diwani wa Kwakilosa pale manispaa ya Iringa!