Meli za Mwakyembe zaanza kazi ziwa Nyasa

halafu tuambie meli hapo manda port abiria wanashuka vipi kulikuwa na tatizo la kina kifupi
 
Mamlaka ya Bandari imetangaza kuanza kazi kwa meli zilizozinduliwa ujenzi wake na waziri Mwakyembe. Meli hizo zinatoa huduma katika bandari zilizopo ziwa Nyasa katika nchi xa Tanzania, Malawi na Msumbiji. Hapa kazi tu, karibuni!
inaelekea msafiri wetu hajafika manda port kashuka kituo kingine au ameishiwa chaji au kifurushi au smesahau,sitaki kuamini kuhusu maigizo bado tunasubiri picja za manda
 
Mamlaka ya Bandari imetangaza kuanza kazi kwa meli zilizozinduliwa ujenzi wake na waziri Mwakyembe. Meli hizo zinatoa huduma katika bandari zilizopo ziwa Nyasa katika nchi xa Tanzania, Malawi na Msumbiji. Hapa kazi tu, karibuni!
Hawa Malawi wamekubali meli ya Tanzania ifanye kazi kwenye ziwa lao lote?
 
Kwa nini meli zinaitwa meli za Mwakyembe, kwani alitoa hela yake mfukoni.?

Elimu, elimu,elimu.!
Pia kuna na treni la Mwakyembe. Hapo ndipo utazimia sasa. Yani we ulitaka kila kitu kiitwe Nyerere? Ulishawahi kusikia ile hadithi ya angazi?
 
Kwa nini meli zinaitwa meli za Mwakyembe, kwani alitoa hela yake mfukoni.?

Elimu, elimu,elimu.!

Ndiyo upeo wake ulipoishia mkuu,unashangaa kuziita hizo meri kuwa ni za mwakyembe wakati mwenzako hata uwepo wake hapa duniani anadhani umesababishwa na ccm?!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom