Meli za machinga zasababisha kupungua meli bandarini

Meli za machinga zasababisha kupungua meli bandarini

Kama Hawalipi kodi basi hawafai, watumbuliwe tu

Ndio maana unakuta wafanyabiashara wengi wa Kariakoo hawataki kutumia mashine za kodi za EFD.Sababu mali walizokuwa wakiuza hawajazinunua zikiwa zimelipiwa kodi walipozitoa bandarini.Kwa hiyo hawawezi offset VAT waliyolipa walipozitoa bandarini na VAT waliyomchaji mteja pale kariakoo!!!!!!
 
UMETUMWA.! SI BURE! MELI KUPUNGUA KUNA TATIZO HAPO! ENDELEA KUWADANGANYA.! MUDA SI MREFU WATANZANIA WATAUONA UMUHIMU WA KULINDA KURA.!
 
Wote nimewaona lkn wataendelea kuretain identity zao...we ulishakuta simba anaitwa mbwa...kila siku yanga anamfunga simba...lakini bado wanajikakamua kuendelea kuitwa simba[emoji12]
Utani mwingine siyo mzuri...kila siku simba anafungwa na yanga...hebu wacha hiyo na weka mbali kabisa na Jf.Tunakupenda na kukuheshimu.
 
KAMA NI KWELI ZINASHIKILIWA SI AJABU MAANA NILIWAHI KUWAMBIENI HUMU "UJINGA WA IKULU (UJAMAA) UNARUDI KWA KASI". MAELEZO (UZI) YAKO HAYASEMI KAMA HATA ZILIZOKUWA ZINALETA SUKARI ZILIKUWA NI ZA HAO UNAOWAITA MACHINGA.!

Meli halali haibebi mzigo usiokuwa na vibali hata siku moja.Sababu kabla ya kuanza safari lazima documentary clearance ya mzigo ifanyike na documentary clearance ya meli iliyobeba mzigo ifanyike na mamlaka kibao.

Meli usifikirie kama ni magari ya fuso yaliyosajiliwa ambayo yaweza beba mzigo wowote bila kujali ni wa halali au haramu.

Hizo ni meli za machinga
 
Wewe endelea kurefusha mdomo na siasa zako, wakati uchumi unaporomoka, hujasikia wafanyakazi 30,000 wameshapunguzwa kaz kwa miez mitatu, wastan wa wafanyakaz 10,000 kwa mwezi. Subir hizo meli ziishe kabisa ndo mtatia akili.
 
hujasikia wafanyakazi 30,000 wameshapunguzwa kaz kwa miez mitatu, wastan wa wafanyakaz 10,000 kwa mwezi. Subir hizo meli ziishe kabisa ndo mtatia akili.

Kama kazi yao hao elfu 30 ilikuwa ni kupakua na ku-clear mizigo ya meli za wizi bandarini ambayo hailipiwi kodi au ushuru ni heri tu wapunguzwe na kampuni zao za clearing zife kabisa na wenye kampuni waende vijijini kulima

Huwezi sema biashara ya wizi,ujambazi au ukahaba iendelee kwa kuwa inawapa watu ajira
 
Hapa kazi tu...wale jamaa waliokuwa wanachanganya sukari na 'ngano' sasa kimenuka rasmi
 
Kwa namna mambo yanavyoenda saiv, mbona mtabadilisha ID. Tusubir muda utasema.

Kama kazi yao hao elfu 30 ilikuwa ni kupakua na ku-clear mizigo ya meli za wizi bandarini ambayo hailipiwi kodi au ushuru ni heri tu wapunguzwe na kampuni zao za clearing zife kabisa na wenye kampuni waende vijijini kulima

Huwezi sema biashara ya wizi,ujambazi au ukahaba iendelee kwa kuwa inawapa watu ajira
 
Hapa kazi tu...wale jamaa waliokuwa wanachanganya sukari na 'ngano' sasa kimenuka rasmi

La hii nayo sababu ya meli kupungua.Waleta Sukari yenye "NGANO" ndani wamebanwa kinoma!!
Nakumbuka pia miaka ya nyuma kulikuwa kuna meli zinakuja kubeba chai kila mara kupeleka ubeligiji lakini siku moja wakafungua mabox yale ya chai wakakuta NGANO mwanangu.
Kesi likaunguruma watu wakafungwa.Zile meli zikapotea zikawa hazirudi tena kubeba chai pamoja na kuwa chai ilikuwepo bwerere!!!

Magufuli aendelee tu kubana mbele kwa mbele
 
Hii Nnahisi itakuwa ni kweli tena somalia inaongoza ikifuatiwa na kenya kwenye hizi dili za meli za magendo,
 
Hii Nnahisi itakuwa ni kweli tena somalia inaongoza ikifuatiwa na kenya kwenye hizi dili za meli za magendo,

Uko sahihi mkuu.SOMALIA hushangai wana silaha kibao waasi.Zile silaha huuziwa na hizo meli za machinga.Hao machinga wanauza kila kitu hata silaha hata mabomu.Ukiendekeza bandari kutumiwa na hao machinga ni hatari hata kwa usalama wa nchi.Meli moja yaweza kuwa ina sukari ya magendo,mafuta ya magendo,silaha za magendo kila kitu kimo humo.Wao huzurura kutafuta magendo yalipo ndio maana hata wakija nchini kutimuka na magogo.pembe za ndovu nk kwao ni kitu kidogo hupakua magendo na kubeba magendo ndio maisha yao.
 
Meli halali haibebi mzigo usiokuwa na vibali hata siku moja.Sababu kabla ya kuanza safari lazima documentary clearance ya mzigo ifanyike na documentary clearance ya meli iliyobeba mzigo ifanyike na mamlaka kibao.

Meli usifikirie kama ni magari ya fuso yaliyosajiliwa ambayo yaweza beba mzigo wowote bila kujali ni wa halali au haramu.

Hizo ni meli za machinga
NAONA HUJAELEWA! NILITAKA USEME BAADA YA KUPIGWA MARUFUKU SUKARI KUTOKA NJE, MELI ZILIZOTUMIKA KULETA SUKARI HAZIKUKOMA?! NA ZILIPOKOMA SIYO SEHEMU YA MELI ZILIZOPUNGUA HAPO BANDARINI?! HIZO ZILIZOSHIKILIWA HAPO BANDARINI NI KUHUSU MARUFUKU (YA KIJINGA) YA KUINGIZA SUKARI NA SIYO HAYO MAWAZO YAKO!
 
Jmn mnabana kotekote tutakula wapi sasa sisi.. Hata vimianya vidonchi donchi hivyo mnakaba!!
 
Back
Top Bottom