Meli za Korea Kaskazini zatumia bendera ya Tanzania

Najua bwana mdogo umekuwa excited kutoka nje ya Tanzania kwa mara ya kwanza, lakini usije na papara. Soma upate knowledge, usijifanye unajua kila kitu. Kuongea na watu vizuri ndio unajenga uhusiano, you never know nani anaweza kusaidia.
 
Ukiomba orodha ya Meli zilizosajiliwa Tanzania utashangaa maana orodha ni ndefu ila hizo meli nyingine hazijawahi hata kufika Pwani ya Afrika Mashariki.
Wahusika wakuu ni hawa wanaoitwa
Tanzania Zanzibar International Register of Ships (TZIRS).
Hawa wameshasajili meli zaidi ya mia 400 kwa makaratasi tu.
Ni kichaka cha ulaji .
Sasa ina manufaa gani kwa nchi yetu?

Kwanini hizo nchi zitumie bendera yetu?
 
Korea kasikazin nimiongoni mwanchi nnazo zipenda sana lakni jambo lakutumia bendera ya Tanzania apo kunakitu sjuii kama wanaweza wakajiamulia tuu wao wenyewe
 
Back
Top Bottom