Sema nikuweleweshe, sema sijafahamu kama muungwana, sio kusema hayo unayoyasemaUnajua unachoongelea au unapayuka tu?
Sema nikuweleweshe, sema sijafahamu kama muungwana, sio kusema hayo unayoyasemaUnajua unachoongelea au unapayuka tu?
Wana Nuclear war heads utawawekemea vipi!!Stupidity things........
hawa jamaa ni wapuuzi sana sijui ni kwanini dunia inawaogopa sana .....
Nitashangaa sana endapo atutawakemea Kwa hili......
Tumeshiriki kikamilifu kwani our notorious agent kule Dubai kapewa ruhusa na desk officer wa wizara ya mambo ya nje(mlungula possibly kapata). Hapa Rais atalala mbele na desk officers wa mambo ya nje au balozi/waziri mwenyewe - accountability. Ukisikia notorious agent yaani wakala wetu ni mzoeevu na siyo mara ya kwanza kuruhusua kinyemela hayo kwani aliwapa ruhusa/kibali Waajemi(Iranians) wakati walipokuwa kwenye vikwazo kama North Korea!!!!!!!!! hapa kazi tu!Tumeshiriki!!?
Unauhakika gani
habari bila picha i sawa na kumchoma sindano mdoli
ni faida gani au hasara gani kwa taifa inapotokea hali kama hiyo?
Kuna watu wanasifia DPRK kwenye keyboards tu. Ukiwapeleka kule hata siku haiishi wataomba kurudi Bongo hata kwa miguu
Situmii kinywaji hicho boss.Kama uko pub Mkuu pata bia 3 nitalipa
Unemaliza kila kitu
Situmii kinywaji hicho boss.
No problem chiefMa bad!
Mkuu vile visiwa havitumii ya tanganyikaHizi meli nahisi zitakuwa zimepata usajili wa Tanzania kupitia vile Visiwa vyetu tunavyoving'ang'ani kwa visingizo vya kuenzi muungano.Korea kama Korea haiwezi kutumia bendera ya Tanzania pasipo kupewa usajili.
Fafanua. Ukifanya maombi ndio utashushiwa precise rockets, au? Wewe unakaa sayari gani, maana kila mtu duniani anajua kuwa Wamarekani na Warusi wanarusha rockets zinakwenda outer space toka miaka ya hamsini huko. Wamarekani walifika mwezini mwaka 1969. Wajerumani walikuwa walikuwa wanarusha conventional rockets zina-bomb London toka Vita Vikuu vya Pili, na hizo zlikuwa enzi za analog... wakati huu makombora Ya rockets hayapo precise sana kihivyo, lazima error itatokea kwa vile yametengenezwa na binaadamu,
Hiyo phyics umesoma shuleni au kijiweni?ndo maana kwenye physics tukawa tunasomeshwa error and precise,
What on earth does that even mean?mfano mfupi hizi Ndege zisizokuwa na rubani ni failure kwa sababu ni non - target,
Hivi unaelewa hata fundamentals of military doctrine, au ndiyo yale yale ya Sadam Hussein ya "mother of all battles"?hata hivyo urusi ana miji kidogo tu Ya kiuchumi ukilinganisha na US ambao almost Ya city zao ni miji Ya kiuchumi ukiangalia mbali Washington DC and New York city
Mwungana anatoa hoja iliyo na kichwa na miguu. Nchi nyingine ukianza kuongea kama hivyo, jamaa wanakuona umelewa madawa au unahitaji psychological evaluation. Unaweza ukakatwa ngwala, ukafungwa strait-jacket ukapelekwa msobe msobe Mirembe.Sema nikuweleweshe, sema sijafahamu kama muungwana, sio kusema hayo unayoyasema
Tunapata kura moja tu Umoja wa Mataifa kama nchi nyingine. Kwa sababu hatuna nguvu za kiuchumi au kijeshi, hatuna uwezo wa ku-veto maazimio ya UN kama nchi ambazo ni permanent members of Security Council.Sasa unadhani hata kama Tz tungesema tunkataa NK kuwekewa vikwazo unadhani nani angetusikia.? Hatuna ubabe huo ndo maana kila kinachosemwa Sisi Huitikia NDIOOOOO
Kwani dhambi kama wenyewe wanataka wawe chini ya Oman? Mayotte iliamua kubaki chini ya himaya ya Ufaransa wakati visiwa vingine vikadai uhuru. Sasa mjanja nani hapa? Comoros wamechacha wakati wenzao ni wanachama wa EU.Hiv mkuu hta ingelikuwa ni ww ungelikubali kuviacha visiwa vikaunganishwe n oman(maalim seif) wkt mwalm altumia akili pana kuvipata kiulain pasip nguvu,watu wanahahaa kujiongezea maeneo ya nchi yao iwe kubw alafu we umeipata unaachia,kuviachia visiw tutachekwa na kila nchi na heshima yetu itapungua,vsiwa vitalindwa kwa nguvu zoote kulinda kwa siasa ikishndkana vitalindwa kwa mtutu ova
Usitukane watu, physics, geo na math nimesoma ndani nje advanced level hapa Tanzania, na degree ninayo chukua ni military engineering huku India kwa hivyo usijione unajua sana bro wakati sio mambo yako, nuclear bomb ni explosion Ya gamma rays sio kitu chengine, ndio maana mashirika Ya kinajimu (astromy association) wanapiga vita dhidi Ya stars wars, kiasi kwamba mataifa Ya nuclear wa najitayarisha navyoFafanua. Ukifanya maombi ndio utashushiwa precise rockets, au? Wewe unakaa sayari gani, maana kila mtu duniani anajua kuwa Wamarekani na Warusi wanarusha rockets zinakwenda outer space toka miaka ya hamsini huko. Wamarekani walifika mwezini mwaka 1969. Wajerumani walikuwa walikuwa wanarusha conventional rockets zina-bomb London toka Vita Vikuu vya Pili, na hizo zlikuwa enzi za analog.
Hiyo phyics umesoma shuleni au kijiweni?
What on earth does that even mean?
Hivi unaelewa hata fundamentals of military doctrine, au ndiyo yale yale ya Sadam Hussein ya "mother of all battles"?
Mwungana anatoa hoja iliyo na kichwa na miguu. Nchi nyingine ukianza kuongea kama hivyo, jamaa wanakuona umelewa madawa au unahitaji psychological evaluation. Unaweza ukakatwa ngwala, ukafungwa strait-jacket ukapelekwa msobe msobe Mirembe.
Mimi mwenyewe naona aibu kwa nini nimekuwa side-tracked by inane discussion kwa sababu mada inazungumzia meli za North Korea kupepea bendera ya Tanzania. Tujaribu kurudi huko.
College of Military Engineering, PuneUsitukane watu, physics, geo na math nimesoma ndani nje advanced level hapa Tanzania, na degree ninayo chukua ni military engineering huku India kwa hivyo usijione unajua sana bro wakati sio mambo yako, nuclear bomb ni explosion Ya gamma rays sio kitu chengine, ndio maana mashirika Ya kinajimu (astromy association) wanapiga vita dhidi Ya stars wars, kiasi kwamba mataifa Ya nuclear wa najitayarisha navyo
ndio lakini hawaitumii kwenye mambo yenye risk kama haya, wanachukua bendera ya Muungano.Mkuu vile visiwa vinabendera yake
Najua bwana mdogo umekuwa excited kutoka nje ya Tanzania kwa mara ya kwanza, lakini usije na papara. Soma upate knowledge, usijifanye unajua kila kitu. Kuongea na watu vizuri ndio unajenga uhusiano, you never know nani anaweza kukusaidia.Usitukane watu, physics, geo na math nimesoma ndani nje advanced level hapa Tanzania, na degree ninayo chukua ni military engineering huku India kwa hivyo usijione unajua sana bro wakati sio mambo yako, nuclear bomb ni explosion Ya gamma rays sio kitu chengine, ndio maana mashirika Ya kinajimu (astromy association) wanapiga vita dhidi Ya stars wars, kiasi kwamba mataifa Ya nuclear wa najitayarisha navyo