Meli za Korea Kaskazini zatumia bendera ya Tanzania

Huwa najiuliza kwa nini NATO wanawagwaya hawa jamaa?

Shida inakuja pale ambapo na mikwara yooote huyo dogo wa DPRK hajafyatua hata japo risasi moja Ya gobore au missile kuelekea US wala S. Korea
To me N Korea ni kama mbwa wa mikwara tu. Kama yeye kidume basi ashushe japo missile moja tu pale Seoul ndipo atauona mziki wake
 
Sidhani kama China na Urusi watamwachia aichokoze Marekani in the first place. Vita vya nuklia havina washindi. Kama Kim angekuwa mjanja angewalisha wananchi wake. Anatingisha kibiriti wakati watu wake wanakula nyasi.
Tatizo siyo NK vs USA

Nk vs s.Korea

Kim ana wasiwasi s.Korea ni mshirika wa USA na base ya usa ipo s.Korea na majeshi ya s.Korea yanafanya mazoezi ya pamoja na usa kwahy hyo ni tishio kwa NK

Kim anasema njia ya kuilinda nchi yke ni kumiliki nucleur tu

Nk hana nia ya kuishambulia USA shida ni tension iliopo kati ya south na north ,Kim siyo mjinga ajishambulie hovyo bali hataki kuvamiwa
 
Kumbuka akivamia S Korea ni kuvamia Marekani. Na hiyo tension ilisababishwa na babu yake kuvamia Korea Kusini mwaka 1950. Hayo majeshi ya Marekani hayakufika tu hivi hivi. Kwanza wa kuhofia uvamizi wanatakiwa wawe S Korea, kwa sababu Seoul ni maili 25 tu kutoka mpakani, hiyo ni kama Dar na Kibaha.
 
Kweli, ingawa sidhani kama hata Urusi watataka kuanzisha vita. Kwa sababu hata ukiwa navyo vingi, mwenye vichache still anaweza kukuumiza.
Urusi eneo ambalo wanalokaa watu ni dogo sana kuliko hilo ambalo halikaliwi na watu, ni rahis kwao kuliprotect ukilinganisha na Marekani
 
Mkuu una uhakika na unayo sema? au ni mambo ya kubuni tu? FIFA wana watambua sana na kama sikosei jamaa walikuwepo kwenye Worl cup iliyo fanyika South Africa kama sijakosea na UN wanatambuka sana na kuna bendera yao inapepea, kuwekewa vikwazo hakunamishi hamtambuliki, halafu FIFA haifanyi siasa
Nilivyomuelewa Mimi kamaanisha Zanzibar sio N Korea
 
Urusi eneo ambalo wanalokaa watu ni dogo sana kuliko hilo ambalo halikaliwi na watu, ni rahis kwao kuliprotect ukilinganisha na Marekani
How? Sayansi ya rockets ni very precise, siyo kama jamaa wanarusha tu bora liende litaanguka somewhere. Kama Warusi wana-target miji mikubwa ya Wamarekani na Wamarekani wanatarget miji mikubwa ya Urusi.
 
Shida inakuja pale ambapo na mikwara yooote huyo dogo wa DPRK hajafyatua hata japo risasi moja Ya gobore au missile kuelekea US wala S. Korea
To me N Korea ni kama mbwa wa mikwara tu. Kama yeye kidume basi ashushe japo missile moja tu pale Seoul ndipo atauona mziki wake
Ni kama wale mbwa aina ya Chihuahua. Vifupi kama Wakorea, (oops!), kubweka kwingi, umkimsogelea anavyotoka mbio.... Hawa North Wakorea huwa wanaanzisha rabsha wakitaka msaada wa chakula.
 
Attachments

  • N1605822.pdf
    358.9 KB · Views: 23
Soma UN Resolution 2270 Article 19

Soma Article 19 UN Resolution No 2270 la March 2016 ktk attachment
Yakhe unataka sisi Wazalendo tuanze kusoma lugha ya wakoloni na kuumiza vichwa vyetu? Bhana tuwekee muhktasari tu hapa.
 
suala la kujiuliza ni kwanini watumie bendera yetu ili hali wao wanayo ya kwao?
Kama umesoma stori umechambua kuwa NK imewekewa vikwazo si na nchi tajiri tu bali UN ilishawawekea vikwazo vya kiuchumi sababu ya kukaidi matamko yanayowakataza kufanya vitu ambavyo ni hatari. Waliweza kupata ujuzi toka nchi fulani wakatengeneza bomu la nyuklia. Kila kukicha wanafanya majaribio ya nyuklia. Juzi juzi walifanya baharini mpaka wakasababusha tetemeko dogo nchini Japan na S. Korea. Ili wafanye shughuli za baharini, inabidi waombe nchi isiyo na vikwazo ruhusa ya kutumia bendera yao. Swali je, sisi ambao ni jamii ya UN kwanini tukubali kuwasaidia watu ambao tumeshiriki kuwawekea vikwazo?
 
Sasa unadhani hata kama Tz tungesema tunkataa NK kuwekewa vikwazo unadhani nani angetusikia.? Hatuna ubabe huo ndo maana kila kinachosemwa Sisi Huitikia NDIOOOOO
 
Hizi meli nahisi zitakuwa zimepata usajili wa Tanzania kupitia vile Visiwa vyetu tunavyoving'ang'ani kwa visingizo vya kuenzi muungano.Korea kama Korea haiwezi kutumia bendera ya Tanzania pasipo kupewa usajili.
Hiv mkuu hta ingelikuwa ni ww ungelikubali kuviacha visiwa vikaunganishwe n oman(maalim seif) wkt mwalm altumia akili pana kuvipata kiulain pasip nguvu,watu wanahahaa kujiongezea maeneo ya nchi yao iwe kubw alafu we umeipata unaachia,kuviachia visiw tutachekwa na kila nchi na heshima yetu itapungua,vsiwa vitalindwa kwa nguvu zoote kulinda kwa siasa ikishndkana vitalindwa kwa mtutu ova
 
Kwani hivyo visiwa munavyoving'ang'ania sio mumuviweka wenyewe madarakani kwa Mtutu wa Bunduki?
Wale waliopo pale sio matakwa ya Zanzibari - Pia jukumu ni la Tanzania
Sasa wee unaanzaje kuacha vswa vikakaunganiashwe nOmanmaalim seif mawnachama wa hizbu) thena nawe upo unaangalia
 
How? Sayansi ya rockets ni very precise, siyo kama jamaa wanarusha tu bora liende litaanguka somewhere. Kama Warusi wana-target miji mikubwa ya Wamarekani na Wamarekani wanatarget miji mikubwa ya Urusi.
Kwa wakati huu makombora Ya rockets hayapo precise sana kihivyo, lazima error itatokea kwa vile yametengenezwa na binaadamu, ndo maana kwenye physics tukawa tunasomeshwa error and precise,mfano mfupi hizi Ndege zisizokuwa na rubani ni failure kwa sababu ni non - target, hata hivyo urusi ana miji kidogo tu Ya kiuchumi ukilinganisha na US ambao almost Ya city zao ni miji Ya kiuchumi ukiangalia mbali Washington DC and New York city
 
Nimekuelewa sana
 
Unajua unachoongelea au unapayuka tu?
 
Back
Top Bottom