umeniwai mkuuHivi na sisi Tanzania tunazo hizo meli, kama za South Africa?
Duh. Samahani sasa jeshi letu la maji. Linatumia meli zipi ?zitoke wapi? wakati hatuna hata Naval Fleet moja. Wataalamu wenyewe wanasema zipo manowari za aina nyingi
Aircraft Carriers
Frigates
Destroyers
Corvettes
Submarines
Coastal Defense Craft
Mine Warfare
Linatumia ngalawaDuh. Samahani sasa jeshi letu la maji. Linatumia meli zipi ?
Vitu zile meli mzee Jk alizinujua kutoka china alizisindua mwaka jana Mv Msoga na nyingine nimesahau jina si zilikuwa na kijeshi?Linatumia ngalawa
Labda za kusafiria wanajeshi,ila za kivita ni ngalawaVitu zile meli mzee Jk alizinujua kutoka china alizisindua mwaka jana Mv Msoga na nyingine nimesahau jina si zilikuwa na kijeshi?
Nyingine ilikuwa MV butiama kama sijakoseaVitu zile meli mzee Jk alizinujua kutoka china alizisindua mwaka jana Mv Msoga na nyingine nimesahau jina si zilikuwa na kijeshi?
Mgeni njoo mwenyeji apone