Meli za kivita toka China, Pakistan na Afrika Kusini zawasili Tanzania

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,557
24,546
March 10, 2016
Meli za kivita toka China, Pakistan na Afrika Kusini zawasili nchini

Published on 10 Mar 2016
Meli tatu za kivita zimetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya kuendesha mafunzo mbalimbali ya kukabiliana uharamia majini, mafunzo yatakayovihusisha vikosi vya ulinzi majini.


Source: MCL youtube mwanachi digital
 
zitoke wapi? wakati hatuna hata Naval Fleet moja. Wataalamu wenyewe wanasema zipo manowari za aina nyingi
Aircraft Carriers
Frigates
Destroyers
Corvettes
Submarines
Coastal Defense Craft
Mine Warfare
Duh. Samahani sasa jeshi letu la maji. Linatumia meli zipi ?
 
Meli za kivita mpya ni Msoga & Mwitongo. Alinunua JK China miaka 2 iliyopita.. Hizi ni coverts kama sikosei, Meli ndogo za kivita..
 
Kuna jambo gani hapa ?? Mara manowari ya Iran ,leo meli za Pakistani ,South na China ,inaelekea mpaka wa maji baada ya Zanzibar sio salama ,Wazee wamekuja kuongeza nguvu

Oman wanataka kufanya mapinduzi ama ??
 
Halafu nchi zilizokuja hapa ndiyo zinaongoza kwa kufanya biashara haramu ya Madawa ya Kulevya na Silaha duniani.
Pakistan na China wanapenda kutumia manowari za kijeshi kusafirisha uchafu
 
Nimeshindwa kuelewa yaani kikosi chetu cha kwenye maji kitapata mafunzo kwa mfumo wa vifaa A na baada ya hapo kitasalia na ujuzi lakini ujuzi usioendana na vifaa tulivyo navyo?
 
Back
Top Bottom