Meli ya wachina yaibua Matapeli

Meli itakwepo kwa siku tano,madaktari kwa siku wanahudumia wagonjwa 600,Waliopata namba wapo 6000, naona hapa Hesabu imekaa vibaya maana 600×5=3000
Kwa hiyo kuanzia namba 3001 Na kuendelea warudi tu walikokuwa wanapata matibabu wakaendelee Na shughuli zao
 
TAPELI namba ni makonda na CCM
Ndio kabisa! Kaanza kwa kutapeli kuwa meli hiyo imeletwa na yeye na Magufuli ndio kalipia gharama za matibabu hayo ya bure. Huo ndio utapeli namba moja, hao wengine wanafanya vijiutapeli tuu. Ajabu mpaka leo hakuna aliye kanusha kuwa Magu kalipia matibabu hayo hivyo kiwango cha utapeli kimepanga kwenda juu zaidi
 
Za kuambiwa,...........[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] bure ghari
 
Msione watu wanatembea tuu, kumbe wagonjwa wengi. Wangekuja huku mtaani wapime akili ile ya 1/4 siiamin pengne ni 5/4 kbsa
 
BINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI
Kafanya jitihada gani huyo makonda zaidi ya visasi?
Unadhani hiyo meli ameileta makonda na magufuli?acheni kupotosha watu
 
BINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI
Wewe kweli ngedere wachina wanasema matbabu bure Grace Mugabe anasema JPM kalipia pesa which is which
 
A
Arusha inakuja lini?? Au mnatulipiza tulivyowapiga bao kwenye Kikombe cha loliondo? Kile ndo kilikuwa chenyewe! Hadi Mugabe (jina kwa hisani ya askofu Shio wa jimbo la Zanzibar) naye hakubaki nyuma
Hiyo meli huko Arusha itapita wapi?
 
Msione watu wanatembea tuu, kumbe wagonjwa wengi. Wangekuja huku mtaani wapime akili ile ya 1/4 siiamin pengne ni 5/4 kbsa
Kama ni hesabati basi hiyo kwenye hao watano mmoja ni wa kukopa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…