Meli ya Iran yatekwa na Uingereza ghuba ya uajemi

Meli ya Iran yatekwa na Uingereza ghuba ya uajemi

vipi tena superpower anawezaje kutekwa................
 
Halafu baada ya kuiteka?
 
Wakishakorofishana na muingereza hawatakuwa na mtetezi. Kwasababu uingereza ndio alikuwa anatetea Yale makubaliano ya 2015. Ila akishageukwa na Ulaya Hawezi kuwa na msaidizi atachapwa asubuhi NATO na Marekani. Vikwazo vya uchumi vinamtesa Iran
Meli iyo imekiuka vikwazo vya iran kuto kumuuzia mafuta Syria. Iran anatafutwa kwa mbalii akiingia kingi atakiona cha mtema kuni. Naona nao wametoa vitisho kwauiengereza
 
Labda vinakutesa ww mkuu, Uengereza hajawahi kutetea Iran, Uk na Us wako pamoja hawajawahi kuwa wapinzani kuhusu masuala ya Iran na Middle East yote, hizo stori za kuwa UK ni ni mtetezi wa Iran sjui umeota wapi, kidogo ungelisema Italy na Ujerumani uongo wako ungelielekea
Wakishakorofishana na muingereza hawatakuwa na mtetezi. Kwasababu uingereza ndio alikuwa anatetea Yale makubaliano ya 2015. Ila akishageukwa na Ulaya Hawezi kuwa na msaidizi atachapwa asubuhi NATO na Marekani. Vikwazo vya uchumi vinamtesa Iran
 
Wakishakorofishana na muingereza hawatakuwa na mtetezi. Kwasababu uingereza ndio alikuwa anatetea Yale makubaliano ya 2015. Ila akishageukwa na Ulaya Hawezi kuwa na msaidizi atachapwa asubuhi NATO na Marekani. Vikwazo vya uchumi vinamtesa Iran
China ataondolewa tarif na Marekani watafanya biashara na Huawei naskia walisha ruhusiwa kutumia tech na vifaa vya eletronic kutoka Marekani, Muajemi hataamini namna ambavyo China atajiweka mbali na huo mzozo... Iran atanyolewa in different way....
 
Meli iyo imekiuka vikwazo vya iran kuto kumuuzia mafuta Syria. Iran anatafutwa kwa mbalii akiingia kingi atakiona cha mtema kuni. Naona nao wametoa vitisho kwauiengereza

Haya sasa, jukwaa limegeuka kuwa kandanda,,, Barcelona na Real Madrid.


Yani unaleta taarifa bila source tukuamini vipi?
 
Labda vinakutesa ww mkuu, Uengereza hajawahi kutetea Iran, Uk na Us wako pamoja hawajawahi kuwa wapinzani kuhusu masuala ya Iran na Middle East yote, hizo stori za kuwa UK ni ni mtetezi wa Iran sjui umeota wapi, kidogo ungelisema Italy na Ujerumani uongo wako ungelielekea
Ufaransa, Ujerumani na Uingereza
zimekuwa zikiendesha kampeni ya kuendelea na
mkataba huo na tangu mwezi Januari wamekuwa
wakijadiliana na Marekani kutafuta njia za kumshawishi Rais Donald Trump kutouvunja mkataba huo. Maas alibainisha kuwa kuna mapendekezo kadhaa yashawakilishwa
 
Marekani aliusoma mchezo akaona hizi nchi za ulaya na mpango wao wa kuisaidia iran(INSTEX) wanaweza kumvurugia mipango yake dhidi ya iran,ile meli wameiona mda mrefu tangu april,maana ilipita njia ndefu kwa kuhofia pale suez canal wamisri wataizuia kwani misri ni kambi ya marekani,kwahiyo wakaamua kuizunguka africa na kutokezea maeneo ya europe kabla hawajavuka giblatar kuingia meditterania ili wawe homefree,wakadakwa na UK,marekani ndo amemtuma uk hiyo kazi kwa kisingizio cha vikwazo vya europe,wakati mda mwingi mafuta yamekuwa yakipita bila tabu kuelekea syria.
Ishu hii itakua ni kumchokonoa iran ili ajaribu kuteka meli za UK ili nchi za ulaya nazo zimgeuke iran
 
Angekuwa fala kama wengine si wangeshamuone,mbona hawaigusi,wanajua watakumbana na kipondo cha historia.
Meli iyo imekiuka vikwazo vya iran kuto kumuuzia mafuta Syria. Iran anatafutwa kwa mbalii akiingia kingi atakiona cha mtema kuni. Naona nao wametoa vitisho kwauiengereza
 
The initial AngloZionist plan was to
overthrow Assad and replace him with
the Takfiri crazies (Daesh, al-Qaeda, al-
Nusra, ISIS – call them whatever you
want). Doing this would achieve the
following goals:
1. Bring down a strong secular Arab
state along with its political
structure, armed forces, and security
services.
2. Create total chaos and horror in
Syria justifying the creation of a
“security zone” by Israel not only in
the Golan but further north.
3. Trigger a civil war in Lebanon by
unleashing the Takfiri crazies
against Hezbollah.
4. Let the Takfiris and Hezbollah bleed
each other to death, then create a
“security zone,” but this time in
Lebanon.
5. Prevent the creation of a Shia axis
Iran-Iraq-Syria-Lebanon.
6. Break up Syria along ethnic and
religious lines.
7. Create a Kurdistan which could then
be used against Turkey, Syria, Iraq,
and Iran.
8. Make it possible for Israel to become
the uncontested power broker in
the Middle-East and force the KSA,
Qatar, Oman, Kuwait, and all others
to have to go to Israel for any gas or
oil pipeline project.
9. Gradually isolate, threaten, subvert,
and eventually attack Iran with a
broad regional coalition of forces.
10. Eliminate all center of Shia power in
the Middle-East.
That was an ambitious plan, but the
Israelis felt pretty confident that their US
vassal-state would provide the resources
needed to achieve it. Now this entire
plan has collapsed due to the very high
effectiveness of an informal but yet
formidable alliance between Russia, Iran,
Syria, and Hezbollah. To say that the
Israelis are seething with rage and in a
state of total panic would be an
understatement. Do you think I am
exaggerating? Then look at it from the
Israeli point of view:
1. The Syrian state has survived, and its
armed and security forces are now
far more capable than they were
before the war started (remember
how they *almost* lost the war
initially? The Syrians bounced back
while learning some very hard
lessons. By all reports, they improved
tremendously, while at critical
moments Iran and Hezbollah were
literally “plugging holes” in the
Syrian frontlines and “extinguishing
fires” on local flashpoints. Now the
Syrians are doing a very good job of
liberating large chunks of their
country, including every single city in
Syria).
2. Not only is Syria stronger, but the
Iranians and Hezbollah are all over
the country now, which is driving
the Israelis into a state of panic and
rage.
3. Lebanon is rock solid; even the latest
Saudi attempt to kidnap Hariri is
backfiring.
4. Syria will remain unitary, and
Kurdistan is not happening. Millions
of displaced refugees are returning
home.
5. Israel and the US look like total idiots
and, even worse, as losers with no
credibility left.
The simple truth is that Russia foiled
*ALL* the Israeli plans for Syria. All of
them!
This is an extremely important
statement. It is also a somewhat
ambiguous one since “ally” means
different things to different people. The
Allied Powers during WWII included the
Anglo nations and the Soviet Union,
which did not prevent the western
powers to plot and conspire to attack
and destroy their putative “ally” (who
happened to have destroyed about 80%
of the Nazi war machine).
 
1. Russia will not “sell-out” Iran to
anybody in any way, shape or form.
2. If Iran is attacked, Russia will offer
her total support short of any direct
military intervention.
Total support short of any direct military
intervention is what the USSR offered the
DPRK and, even more so, to Vietnam, and
in both cases, the West was eventually
defeated. Also, “short of any direct
military intervention” does not mean “no
military aid”: sending military equipment
and instructors, is also below the
threshold of “direct military
intervention,” as would be the case with
political and economic support.
Furthermore, Russia has formidable
intelligence and reconnaissance
capabilities which could play a crucial
role in helping Iran resist an AngloZionist
attack (look at what Russian radars,
electronic warfare, and battle
management systems have done to the
effectiveness of US and Israeli attacks
against Syria!).
Let’s also remember the nature of the
Iranian theater of military operations:
Iran is a huge country with a very large
population (80M+). What this means is
that Iran cannot be taken over in a
ground invasion. That, in turn, means
that the resistance of the Iranian people
will never be crushed. And that, in turn,
means that there is no need for Russia
to prevent a military takeover of Iran. All
Russia needs to do is to give Iran the
means to effectively resist and the rest
will happen naturally (just like Hezbollah
did in 2006 against Israel when Iran did
not intervene directly and militarily, but
simply gave Hezbollah the means to beat
back the “only Jewish democracy in the
Middle-East”).
Besides, Iranians are fiercely patriotic,
and they would probably not welcome
any visible Russian military intervention
in their country anyway (they won’t say
“no” to covert aid, especially not the
IRGC). This is a wise approach, especially
when compared to cowardly little
statelets which always want one
occupier to boot out a previous occupier
(think Poland, the Baltic statelets or the
Nazi-occupied Ukraine nowadays).
Finally, Russia is not acting by herself or
in a vacuum: the Chinese have made
numerous statements (see here , here
or here ) showing that Iran also has
their backing, which resulted in a state
of consternated shock amongst MAGA
fanboys. The fact that the US’s “European
allies” seemed to be getting cold feet
about this entire project (attacking Iran
on behalf of Israel, blowing-up the entire
Middle-East while bringing down the
world economy) only adds to their
distress.
thesaker.is/debunking-the-rumors-about-russia-caving-in-to-israel/
 
Back
Top Bottom