Meli mpya nyingine yaja

Ni uhakika hii MELI ni kazi ya JK
Jiwe miradi yake ni korosho na bwawa la umeme basi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Wale mashujaa wa mbele ya laptop wanaoishi Dar, wanakwambia hakuna chochote ambacho awamu ya tano imeshakifanya mpaka leo hii.

Mkuu siasa zimekuathiri sana, Kazi ya serikali ni kutenda na isipotenda lazima ilaumiwe. Usiumie sana unapoambiwa hakuna kilichofanyika safari bado ni ndefu hivyo hatupaswi kujisifia kwa hivi vitu vidogo vidogo, Wanaosema hakuna kilichofanyika wako sawa maana matatizo ni mengi kuliko vilivyofanyika ila kama vilivyofanyika vingekuwa vingi kuliko matatizo usingesikia kelele maana wengi wangekuwa wamefikiwa.. Madawa, Elimu, Miundombinu hizo bado ni basics mkuu tunafanya karne hii.
 
eti ya kisasa😜 mbona ni ya kawaida sana haina tofauti na mV kazi
 
NDIO NI WANACHAMA WA VYAMA VIWILI TOFAUTI KWA KUWA JPM/JIWE HUWA ANATUAMBIA KUWA SERIKALI ZILIZOPITA HAKUNA WALICHOFANYA ZAIDI YA KUTUPIGA NA KUWA AKIONDOKA YEYE HAKUNA LITAKALOFANYIKA
Mkuu pole, naona unateseka.
 
Tafuta kazi ufanye uingize pato, ukiwa mvivu kila rais utamuona hafai, kila awamu utaiona mbaya.
MIAKA YA NYUMA TULIZOEA HOJA ZA WAPINZANI KUJIBIWA KWA HOJA ZENYE MASHIKO NA KINA NAPE NA KINANA, ILA SASA HOJA ZA WAPINZANI ZINAJIBIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI NA POLISI
 
MIAKA YA NYUMA TULIZOEA HOJA ZA WAPINZANI KUJIBIWA KWA HOJA ZENYE MASHIKO NA KINA NAPE NA KINANA, ILA SASA HOJA ZA WAPINZANI ZINAJIBIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI NA POLISI
Pengine ni msaliti wa taifa lake, anawasaliti watu milioni 55 na maslahi yao ndio maana risasi zinamfaa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…