Meli mbili zilizobeba shehena ya sukari isiyo na kibali zashikiliwa bandarini

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Sakata la sukari

Bodi kutumbuliwa wakati wowote, wabunge washikilia msimamo wasema inawaingizia 1.3 bilioni matajiri badala ya kuinua viwanda vya ndani; wajumbe wa PIC wabariki kutumbuliwa.

Bodi yashindwa kutetea hoja ya kuagiza sukari nje ya nchi.Meli mbili za sukari zisizo na vibali zakwama bandarini , mama Nagu kuendelea kuhojiwa kama ana mkono kwenye hili.
 
Bodi ndo imeagiza au mama nagu au wafanya biashara,hapo kodi ilipwe na fine maisha yaende wasitafute uadui wakati hatuna meli zetu,shipping line wakiungana wakagoma kuja Tanzania tutatia akili
 
Ukweli ni kwamba mahitaji ya sukari ni makubwa so lazma tu uagize ya nje ishu hapo ni serikali ikusanye kodi yake na isiruhusu tu kuagiza sukari nyingi ili kuja kuua viwanda vya ndani
 
Kosa ni meli au watendaji wetu? Kama watendaji wetu hizo meli ziachiwe na watendaji wachukuliwe hatua sitoshangaa BAKWATA ikitajwa tena
 
Kosa ni meli au watendaji wetu? Kama watendaji wetu hizo meli ziachiwe na watendaji wachukuliwe hatua sitoshangaa BAKWATA ikitajwa tena
ALAFU . MATANI YA SUKARI YALIOMO KWENYE MELI HIZO?????????
 
Bodi ndo imeagiza au mama nagu au wafanya biashara,hapo kodi ilipwe na fine maisha yaende wasitafute uadui wakati hatuna meli zetu,shipping line wakiungana wakagoma kuja Tanzania tutatia akili
MAMA NAGU INAONYESHA ALIJUA KUWA KUNA SUKARI INAKUJA NDO MAANA ALING'ANG'ANIA ; VIBALI VITOLEWE MAPEMA. HYPOTHESIS
 
Kosa ni meli au watendaji wetu? Kama watendaji wetu hizo meli ziachiwe na watendaji wachukuliwe hatua sitoshangaa BAKWATA ikitajwa tena

Hapo ingetakiwa ukusanywe ushuru wa serikali,meli zilipe gharama zote za bandari na ziachiwe mara moja. Pili uongozi wa Magufuli uwajibishe bodi nzima ateue wengine sema hofu ni ilimradi na mama Nagu yupo hawawezi fanya lolote wakusanye tu ushuru wetu na kuipiga chini kamati nzima kwani hawana ubavu wa kuwapeleka kwenye sheria.
 
This is absurd! hii ni nchi inayoendeshwa na sheria, sheria ni minimum requirement for compliance! mnafikiria vipi iwapo hawa wangeingiza bidhaa bila kibali Uingereza au Marekani? Yeyote anayegoma lazima atoe sababu... na umoja wao hautakuwa tayari kuwatetea wakiwa kinyume cha sheria.

Tusijaribiane.. wapewe adhabu stahili, hata kamani kufungiwa. Wanaogoma na wagome tu.
 
""Itozwe kodi stahili na iruhusiwe""/ kukalisha meli muda mrefu hakuna maana.
""Ushuru stahili""
 
""Itozwe kodi stahili na iruhusiwe""/ kukalisha meli muda mrefu hakuna maana.
""Ushuru stahili""
 
Bodi ndo imeagiza au mama nagu au wafanya biashara,hapo kodi ilipwe na fine maisha yaende wasitafute uadui wakati hatuna meli zetu,shipping line wakiungana wakagoma kuja Tanzania tutatia akili
Ukweli ni kwamba mahitaji ya sukari ni makubwa so lazma tu uagize ya nje ishu hapo ni serikali ikusanye kodi yake na isiruhusu tu kuagiza sukari nyingi ili kuja kuua viwanda vya ndani
Wapigwe faini tu inatosha, wasije kugoma

Kwani dhida yetu sisi nini!!
Wachukue kodi mambo yasonge
Hawa ni wakwepaji kodi walio kubuu, wanaamini serikali ipo mfukoni kwao. Hawana faida yoyote raidi ya kutuletea maradhi.
 
Back
Top Bottom