Kudadeki, hilo meli lilikuwa fiti sana tu, sasa tatizo ni mzigo maana tatizo ni centre of gravity ilihamia nje wakati inatakiwa kuwa katikati ya meli, hakukuwa na jinsi ya kuokoa mizigo maana wangeanza kushusha tu ineweza kuzama haraka na kuleta athari kwa waokoaji
Jamani jamani. Mpaka unaona hivyo ujue yametokea mambo mengi sana. Hapo kuna ajali mbili ya kwanza hiyo meli iligonga halafu mzigo ukashift na kusababisha metacentric height kuongezeka and therefore unstable equil. Ajali itayofuata baada ya hapo ni kupinduka na kuzama. Kuhusu kuhamisha huo mzigo, umenikumbusha aliyetoa wazo la kutoboa reserve bouyance kwenye MV BUKOBA mzee.