Meli iliyobeba malori 600 ya kiwanda cha Dangote yatia nanga Bandari ya Mtwara

Hii njemba ina mawe....mnasemaga bongo kuna matajiri ....hakuna kitu ...akina nanii ni wachuuzi tu.
Wale matajiri tuliowadhania nanii na wengine wakatuambia wanatumia hela za babu bado za kwao kumbe kodi zetu hawalipi na majumba mengine wakapigia maselfie na kupangisha kumbe sio yao ya mashirika ya umma asante sana Rais Magufuli watakuelewa tu
 
Wakati anaongea na waandishi wa habari yeye pamoja na Mheshimiwa Rais wamezungumzia ujio wa Malori. Lakini Dangote kwa maneno yake amesema wanaleta magari mapya kabisa 600 na yamesha anza kuingia.

Baada ya kufautilia nimekuta kunapicha zinasambaa juu ya ujio wa hayo malori. Angalia picha hii kama kweli haya malori ni mapya, yanavo onekana yametolewa sehemu nyingine na sio mapya kama yeye alivyo sema..

Kama hili lipo hivi, napata uhakika kwamba mengi yaliyozungumzwa Leo ni siasa zaidi.View attachment 444906
Kila kitu siasa tu
 
Mbona yule waziri alisema kiwanda kiko kwenye matengenezo na kama ni kweli kwanini kufuli alimwita waka "discuss"???

Kubali mliboronga nyie macccm na baada ya mkulu kukubali yaishe ndio jamaa akaleta hizo contena otherwise mngesikilizia dangote kenya!!!
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa baada ya mazungumzo ndio malori yakaja?hayo malori yalikuwa Zanzibar?piga hesabu vizuri au nyamaza ndugu.
 
Wakati anaongea na waandishi wa habari yeye pamoja na Mheshimiwa Rais wamezungumzia ujio wa Malori. Lakini Dangote kwa maneno yake amesema wanaleta magari mapya kabisa 600 na yamesha anza kuingia.

Baada ya kufautilia nimekuta kunapicha zinasambaa juu ya ujio wa hayo malori. Angalia picha hii kama kweli haya malori ni mapya, yanavo onekana yametolewa sehemu nyingine na sio mapya kama yeye alivyo sema..

Kama hili lipo hivi, napata uhakika kwamba mengi yaliyozungumzwa Leo ni siasa zaidi.View attachment 444906

Acha utoto wewe kwenu hamna hata baiskeli Hizi gari n mpya Toka Sinotruk China hzo vumbi n kuwa kabla zijapakiwa kwnye meli hua zinakaa yadi ya kiwandani zimepgwa vumbi nenda hata bandari pale namba 2 ukaone gar zilivopgwa vumbi mpka unazikana....!!!
 
Wenye fani za udereva wameshaula tayari ...............Ngoja sie wengine tusubirie viwanda vingine
 
Unajua bwana kuna sarakasi nyingine watu wanazifanya mpaka mtu wa pembeni unaona aibu!

Imekuwaje meli ya malori 600 (malori 600! ) imetinga Mtwara kwa ghafla sana? Tena baada ya Aliko Dangote kufanya mazungumzo ikulu?

Sina nia mbaya kabisa na uwekezaji wa Dangote kwani mimi ni miongoni mwa wahandisi wanaofaidika kwa kiasi kikubwa sana na uwekezaji huo na napongeza sana ndugu Dangote kushinda hila (za serikali? ) na hatimaye kurejea tena.

Ninachoongelea hapa ni hili tukio la ghafla sana meli ya malori 600 kutinga Mtwara. Unajua kuna uwezekano mkubwa kuwa sisi watanzania hatuko serious na kuhoji mambo yatokanayo tena kwa kiasi kikubwa zaidi ya kupiga miluzi na makofi kushangilia tukio! Tukienda kwa usanii usanii huu hatutafika kamwe! Ni lazima tujiulize, tuulize na tujibiwe kuwa hayo malori yalikuwa wapi wakati wa mgogoro! Nini hasa ilikuwa mwisho wake na ni ushawishi gani umetumika kuyarejesha Mtwara? Hapo kabla ilikuwaje? Nani alisababisha? Tuache usanii usanii kwenye mambo muhimu!
Ghafla from where,
 
Back
Top Bottom