Unaweza kututhibitishia hilo ?Mwandi wake ni Suleiman mfalme
Unaweza kututhibitishia hilo ?Mwandi wake ni Suleiman mfalme
NdioUnaweza kututhibitishia hilo ?
Safi,fanya hivyo ili tupate faida.Ndio
Safi,fanya hivyo ili tupate faida.
Wimbo Ulio Bora:1.1Safi,fanya hivyo ili tupate faida.
Wimbo Ulio Bora:8.10Safi,fanya hivyo ili tupate faida.
Rejea ni vitabu vyote vya agano la kale kuanzia Torati hadi manabii Isaya hadi malaki.Mnajuaje kama iko sawa yaani mizani yenu ya usawa ni ipi ?
Je katika hiyo nyimbo marejeo yake ni katika Injili au Torati au Zaburi ?
Hapana mkuu nitafutie scholarly Paper yoyote inayoprove hii..... Wimbo ulio bora ni classified as Pseudepigrapha same as Hebrews.Mwandishi anatambulika sema wewe humtambui anaitwa mfalme Suleiman Mwana Wa Daudi
Hapana mkuu nitafutie scholarly Paper yoyote inayoprove hii..... Wimbo ulio bora ni classified as Pseudepigrapha same as Hebrews.
Kma ww ni mwanatheolojia utanielewa kuwa category hii ina maanisha uandishi na dating yake ni tofauti na content yake...... Yaani mwandishi tofauti ila anajitambulisha kma historical figure ili kupata uhalala.
Wimbo umeandikwa 200 BC thus miaka zaidi ya 600 toka Mfalme Suleiman afariki!! How can it be imeandikwa na solomon??
It's a Pseudepigrapha!!
Of course Yesu ni mizania lakini hakuandika kitabu so katumia waandishi kadhaa kufikisha mafundisho yake mfano vitabu vya injili hivyo kma Kitabu hiki hakikinzani na Injili ama vitabu ya agano la kale basi hawawezi kukiacha nje ya Biblia kisa tu hawana uhakika na mwandishi AlieandikaNakupata vizuri,je hao wenzake ni kina nani ? Na kwanini aisiwe Yesu mwenyewe ndio mizani yenu ?
Yesu alikuja akaondoka kama alivyo tabiliwa na manabii walio kuja kabla yake huyo kuhani mkuu sio yesu chamsingi bible kuna vitabu vingi havipo so kuna mambo mengi hatuyajui
Yesu Maelezo yake yana jitosheleza sio kuhàni mkuu yesu ni mwana maana yake ana baba mbinguni pia ana mama duniani ndio maana yesu ana sema tutaketi pamoja kwa baba yanguWewe unasema Yesu sio kuhani na unasema Yesu ni nabii.Hapo naona kama umenirudisha katika upande ambao Siwezi kukubaliana na wewe kabisa.
Ukisikia mysterious figure kwenye biblia ambao hawakuwa na baba wala mama kuna Yesu Kristo,,Adam na Melkizedech.Lakini tumekabili kuujua ukweli wa Melkizedech ni nani hasa.?? Niliwahi kuandika Yesu kamwe hakuwahi kuwa nabii wala sio alichokijia na ndio Maana anaitwa Yesu Kristo.
Mkuuu kwa mantiki ya maandiko hawajulikani .Hapa una maanisha ya kuwa wazazi wao hawajulikani au hawakuwa na wazazi kinasaba kabisa ? Na kama ni kinasaba hili liliwezekana vipi ?
Mkuu wasipopenda pesa ndo tutawaoa au ndo tutaacha kuwasaliti?
Kwahiyo mkuu Kiufupi Melchizedek ndio Yesu
Hili sio jina la kurithi majina ya kurithi ndio yenye matatizo."Utambebesha zigo kubwa sana" Take care...Hapa tu kuna utata yeye ataliweza?
Safi sana mkuuHata Mimi mkuu nilishawaza hivyo
Sasa asili yake na chimbuko lake huoni kama lina utata?Hili sio jina la kurithi majina ya kurithi ndio yenye matatizo.
Lina utukufuSasa asili yake na chimbuko lake huoni kama lina utata?