Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,001
- 32,577
Wacha weeeMwanamke mweusi akiwa mzuri anakua mzuri kweli.
Wacha weeeMwanamke mweusi akiwa mzuri anakua mzuri kweli.
Asee basi tuma full...tujilidhishe kabisa
Kelele zako khs wanyaki sizitaki leo 😂Wacha weee
Nyenge nyingine bhana..!🤣🤣Napenda wadada wenye hii rangi jamani kwanza they're naturally beautiful, wakiwa warembo ni warembo haswaaa😍❤️.
Huyu ni rafiki yangu mwenye rangi yake asilia yaani rangi ya kiafrika
Leo niko kwa mrembo mwenye Melanin zakeKelele zako khs wanyaki sizitaki leo 😂
Freshi na wewe ni melanin na una macho ya wanawake wa peponiMchumba. Niaje??
Afadhali najua leo utulivu utakuwepo.Leo niko kwa mrembo mwenye Melanin zake
Jaman ☺️☺️Freshi na wewe ni melanin na una macho ya wanawake wa peponi
Mwanamke mzuri wewe🙌Jaman ☺️☺️
Au nije PM mana Naskia baridi ya kinyakyusa.Afadhali najue leo utulivu utakuwepo.
🥰 Thank youuu mchumba.Mwanamke mzuri wewe🙌
😂 Unajua wee ni chiziAu nije PM mana Naskia baridi ya kinyakyusa.
Naona Mwanangu Spider anataka Melanin yako😂 Unajua wee ni chizi
