mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,936
Kila jiwe litageuzwa siohaka kademu kalikula nauli yangu asee, nitumie namba yake nili renew laini![]()

Kila jiwe litageuzwa siohaka kademu kalikula nauli yangu asee, nitumie namba yake nili renew laini![]()

Sauda sauda saudaaaNapenda wadada wenye hii rangi jamani kwanza they're naturally beautiful, wakiwa warembo ni warembo haswaaa.
Huyu ni rafiki yangu mwenye rangi yake asilia yaani rangi ya kiafrika
😂😂Kila jiwe litageuzwa sio![]()
Anadaiwa nauli huyo madeni lazima yalipwePole wewe na huo uongo

...my favoriteWeka pichaMimi sio Melanin
Mbona huyo Melanie Lady umempost.... Weka na yako tuone huo weupe.Mimi ni mweupe hiyo inatosha
Ukiwa na maana gani? Kuandika hivyoFr fr
Jikaze mkuu....tafta hela watakuja hadi wapurpleTupeane connection sio kurushana roho tu, nakuja PM.