Kuna ile aliyoimba na lavalava jina limenitoka kidogo Kali ile mbaya na ile pia aliyoifanya na Malkia karen inaitwa Sina ni 🔥🔥. Huyu jamaa amenifanya nipende mziki wa singeli kiasi fulani ana ladha unique tofauti na waimbaji wenzake