econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 22,138
- 32,715
Halafu humu kuna kigenge cha Wanyarwanda huwa wanaamini kabisa kwamba bila Paul Kagame kusaidiwa na CIA, MI6 na MOSSAD anaweza kuitunishia misuli Tanzania. Kiukweli changamoto yetu kubwa ni ile MIZEE YA COLD WAR na vijana wao wa kuanzia mwaka 1992 mpaka sasa, kina Kipilimba, Massoro, Mombo ambao hawana AMBITION.
Wao baada ya kuingia TISS na TPDF na kuwa mabalozi, kupewa makasri OYSTERBAY, MASAKI na UNUNIO basi wanaona wameshafika na kuridhika. Watoto wao wakiwa BOT, PRESIDENT'S OFFICE, TRA, PCCB, TISS na PT basi akili zao ndiyo huwa zinaishia hapo, na hawawezi kuwaza zaidi. Hizi koo ndiyo inabidi zipelekwe Gulag hata tukichukua wachache tukawatoa sadaka kutishia wengine, nchi itarudi kwenye mstari.
Ukianza kuangalia vizuri, asilimia zaidi ya 80% ya maraisi wa SADC wameshawahi kuwa chini ya TISS na MI na handlers na trainers wao ni wazee wa hapahapa. Kiufupi, tunawafahamu nje-ndani ila ndiyo hivyo, tumeshiba pesa za ubalozi na vimemo na vya watoto wetu kupenyezwa BoT na TISS.
Unaweza kusema yote, ila Imran Kombe, Benard Membe, Edward Lowassa, Edward Sokoine, Mark Mwandosya, Salim Ahmed Salim ni kati ya Bureaucrats wachache hapa nchini Tanzania ambao walishawahi kuwa Extreme Ambitious, about positioning Tanzania in an undisputable position within the African region and beyond.
Leo vijana wa TISS, MI na CCM Bureaucrats are in defense formation kwasababu wengi ni Phobes with no ideological rooting. Laiti watawala wa TZ wangefahamu mtaji wa kisiasa ambao nchi ya Tanzania inao (Kiulinzi, Kidiplomasia, Kiutamaduni) sidhani kama kuna nchi ingethubutu hata kutupigia kelele hapa Afrika. Tanzania ndiyo ingekuwa Rwanda ya Kagame au Uganda ya Museveni, basi leo hii tungekuwa tunazungumza mengine hapa Afrika.
Ila ndiyo hivyo tena, Tanzanians chose to embrace ignorance and complacency.
Achana na wanyarwanda. Kila saa wanyarwanda shida yako Nini?