Megyn Kelly leaving FOX News for NBC

Megyn Kelly leaving FOX News for NBC

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,204
Reaction score
144,096
Habari ndo hiyo....ime break sasa hivi.

More to come.....
 
Aaah
Nilikuwa namuona tu, yule hakuwa material ya Fox
Kama kwenye uchaguzi nilikuwa nikiangalia the kelly file naona kabsa ni material ya Liberal news media na si Fox
Bora ende huko, good riddance
 
Mshahara wake sasa 20mil usd kwa mwaka ila kakataa
 
CNN kungemfaa zaidi..
Hawezi kumsahau Trump
 
Samahani, ndo nani huyu? ana undugu na D. Trump?
 
Back
Top Bottom