Meena Ally wa Clouds FM ananikosha sana

b8a44e7e907ec0468aff2da43d54896d.jpg

kazuri,kwenye simu mchina kafanya yake GNU2MA2-SAMSUNG.
wachina mufwe kwakweli
hahahahaha nikajua nimeona pekeangu
 
Alikua mtangazaji wa uswazi ya eatv..kuna kale ka sehemu mlikua mnasikia sauti ya kike ndio yeye alikua anatangaza..alikua anajiita meena brilliant kika
 
1.Kaharibu kipindi ha Milard
2.Anaforce kuchekesha uzuri millard anamkaziaga safiii.
3.Abaki kwenye kipindi chake cha niambie..ampilifire kazogoa kbsaaaaaaa

SEMA

4.Sauti yake akiwa chumbani inaonyesha hata kama huna hela unaweza jikuta unamwambia mama Chomoa hata FIGO ukauze...(MI NAIPENDA ila akiongea ki kike sio kuropoka kama saivi)
 
Huyu bi dada ameharibu kweli kipindi cha amplifaya cha Ayo
Anaongea sana na kulazimisha utani
Ameharibu kabisa flow ya kipindi
 
Daaah, huyu dada mpemba ananikosha sana especially sauti yake. Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa Clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie.

Mwenye kujua information zaidi za huyu dada atiririke tafadhali...

5dbf2feb346d53eab2901558dfe728f9.jpg
b8a44e7e907ec0468aff2da43d54896d.jpg

ed8988dc13a114a5aa2dfc9e154a1134.jpg
ef8b9c452f269ab5795c680cc70bb6fa.jpg
Mimi nampenda sana yule wa ala.za roho
 
Back
Top Bottom