Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 950
- 2,260
Daaah Huyu Dada Mpemba ananikosha Sana especially Sauti Yake, Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie, mwenye kujua information zaidi za Huyu Dada atiririke tafadhali.......
Ni vizuri embu tupe kidogo information kidogo zaidi za Huyu shemeji yako....Ni shemeji yangu.
Ni vizuri embu tupe kidogo information kidogo zaidi za Huyu shemeji yako....
Za kipaji chake kingine alisoma wapi amefanya kazi wapi tofauti na clouds vitu Kama hivyo?Mke wa mtu uyo, info za nini?
Huyu mtoto mashalah.......Daaah Huyu Dada Mpemba ananikosha Sana especially Sauti Yake, Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie, mwenye kujua information zaidi za Huyu Dada atiririke tafadhali.......
Ana dental formula mbovu sijapata kuona,Daaah Huyu Dada Mpemba ananikosha Sana especially Sauti Yake, Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie, mwenye kujua information zaidi za Huyu Dada atiririke tafadhali.......
Mmmhh mkuu hiyo iko personal Sana siyo nzuri kuizungumzia...Ana dental formula mbovu sijapata kuona,
Ana meno 34 Badala ya 32
Kwa Kweli mumewe kazi anayo
Hehehehe hiyo ni mirror reflection
kazuri,kwenye simu mchina kafanya yake GNU2MA2-SAMSUNG.
wachina mufwe kwakweli
Mkuu hiyo dental formula umeionaje?Ana dental formula mbovu sijapata kuona,
Ana meno 34 Badala ya 32
Kwa Kweli mumewe kazi anayo
Mwenye mke aweke pete kidolen vinginevyo weka tu info kama unazoMke wa mtu uyo, info za nini?
We unavyoona angekaa kipindi gani tofauti na Niambie na Amplifier?Kiukweli mimi nilikuwa namkubali sana kipindi chake cha NIAMBIE.
Alipokuja tu AMPLIFIER, aaaagh!. Kaharibu kipindi kabisa. Na vyeo vyote nilivyomtundika nimemvua vyote.