barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 150
Wakuu kwema.
Naomba kujua ngoma kali Za Rapa Meek Mill....Zile kali haswaaa mwenye kuzifahamu naomba azishushe hapa. Kwa kuzitaja tu itatosha then ntazitafuta...Asanteni.
#Forgive Me