Meditek 6795/6595 specs ni noma

Meditek 6795/6595 specs ni noma

deogan

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
399
Reaction score
46
mediatek watangaza processor mbili mpya mt6595 biglittle 4cortex A17 4cortex A7 na mt6795 true octa core ya 64bit 2.2Ghz
mt6795 ina uwezo wa kurecord full hd video hadi 480fps hivyo kuweza kupata slow motion video kwa speed hadi 1/16
pamoja na uwezo wa kusupport screen resolution 2K at 120Hz,
zote zina uwezo wa:
20MP Camera, sample yao wametumia 20.7MP Camera Sony IMX220 ikilinganishwa performance na xperia ZL huku sample ya mediatek ikiwa na image processing bora zaidi.
4G LTE
4K video recording and Encoding
GPS, GLONASS

mt6595 imepata antutu score ya 47000, ukilinganisha na snapdragon 801 inayofika 36000 je mediatek watakuwa wameipita Qualcomm au bado chip zao zitakuwa na magumashi?

chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Angalia video hizi


[video]www.youtube.com/embed/qtIPvcPM8k0?list=UU0GhiZR9zyPo rNmoWyPClrQ[/video]
[video]www.youtube.com/embed/xg35PRoAuQY?list=UU0GhiZR9zyPo rNmoWyPClrQ[/video]
[video]www.youtube.com/embed/-j0gCXjHuKQ?list=UU0GhiZR9zyPor NmoWyPClrQ[/video]
 
OFF COURSE Mediatek wanakuja kama AMD walivyokuja kwa Intel wanaanza kutambua mahitaji ya sasa
 
Tatizo bei itakuaje?
je.akina tecno watazitumia hizi chip.na bei ikawa bwerere?
 
waanze kusuport driver za ku update simu kwanza sasa hv simu za mediatek karibia zote zipo vulnurable na sms attack, mtu anatuma sms simu yenyewe inatoa taarifa zako bila wewe mwenyewe kujua, oem hawawezi kusolve sababu chip haziruhusu kupata update hata ya kb moja, speed sio kila kitu
 
tatzo watapandisha bei za simu kama bbrand kubwa..

ebu angalia eti Tecno R7 inauzwa zaid ya laki5 si ni bora ni nunue s3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom