Medicine vs Pharmacy

Utakataa tu ukweli, but facts are there to stay. In Africa, Pharmacy inayotumika ni Hospital Pharmacy. Nchi nyingine za Africa kama Nigeria na Afrika Kusini na pia nchi za Ulaya na america washaanza kutengeneza kozi mpya (Pharm D). Sijui ni kuwa too desperate to be identified as a Dr au nini. MD ni Mtu anaefanya Prescription anakupa tu wewe kama mtoa dawa.
 
Fanya kile unachokipenda ili hata ikitokea mikiki mikiki na madaliko usighafirike na uendane nayo ipasavyo.
Kama una akili ya nje ya box pharmacy inakupa uwanja mpana wa kusolve changamoto nyingi za nchi hii mf community pharmacy nyingi zinakua run na wafanyabiashara hivyo ethics ni changamoto lakini ukianzisha yako na ukatoa huduma bora utapiga pesa na jamii itafaidika utatrain wafanyakazi ukazidi kupanuka (idea siwezi weka hapa zitaibwa but ukidhamiria kila kitu kipo mtandaoni), kuna chance ya kutengeneza vitu mbalimbali ukiachilia dawa kuna shampoo na vitu mbali mbali vya akina mama....etc
Udaktari ukifanya toka moyoni hautokusumbua sababu changamoto zake ni nyingi zaidi, mazingira ya kazi ya nchi hii ni magumu watu wanafariki ilihali kwa elimu yako unaweza kufanya kitu, maslahi wamebana motivation hamna, kujiari hapa kunahitaji msuli mrefu kidogo na mwisho kabisa safari ya kuwa specialist ni ndefu na inahitaji mapenzi ya dhati (kuishia kuwa general doctor kwa maoni yangu binafsi sioni kama ina mvuto) mwisho kabisa ukifanya kazi yako kwa ufanisi bila janja janja utajijengea jina kubwa na jeshima ambayo itakubeba kwenye mambo mengi zaidi ya utarajiavyo (sema hii inaplay part kubwa sana kwa specialists)
Andiko refu sana... jitahidi kusoma kibishi
 
Sijakupata vzur hebu nieleweshe mkuu

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Kwanza jifunze kuandika vizuri baada ya hapo ndio uchangie mada. Ebo!
 
Umenena kweli kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…