Hawa huwa wanatangaza kazi kama kawaida ila ukipata kazi apo inabidi ukatambike ila wanalipa vizuri sana.Hapa kama huna wa kukushika mkono bora utafute kazi kwingine otherwise utapoteza muda waku bure.
Duuu! Haya Mkuu maana kuna kijana kapata hapo kila nikimuuliza mchakato uliendaje ili nami nifanye mpango anabaki ananipiga chenga mwanzo mwisho wakati tugraduate pa1
'Ewe mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tusaidie vijana tusio na ajira'