medical lab vs clinical medicine vs pharmaceutical

medical lab vs clinical medicine vs pharmaceutical

Joined
Jul 26, 2016
Posts
25
Reaction score
8
Plz wakuu binafsi nmechaguliwa ordinary diploma ya pharmancy but mm nilitamani sana nisome clinical medicine lkn baada ya kuomba ushauri kwa watu walionitangulia wakanigusia pia medical labaratory ........sasa plz ndg zangu naomba kama mnaweza kunisaidia juu
 
huwez kubadili course labda kama umechaguliwa private......clinical iko poa kuliko zote izo
 
clinical ndio iko vizuri, alafu pia Pharmacy sio nzuri, soko lake haliko vizuri.

Hivi Kwanini mnapenda kutoa habari msizo na uhakika nazo?Una ndugu yako yupi kamaliza pharmacy akakosa kazi?

Kama hujui ni vema kusubiri wenye correct Info
 
Back
Top Bottom